Jf Couples (New Version)

Jf Couples (New Version)

nikule na ugali basi
raha kweli.
Pole ila ndo wanamme walivyo.

Mie niliwahi mkuta live stoo na binti,
weeeee, nilimchomoa yule binti nikaendelea mwenyewe.
Akakoma kuanzi siku hiyo

hehehe! Bora ungebaki kuwa maziwa fresh tukuchemshe chai.
 
Sijui nianzie kusoma wapi.. Mh.. Somebody give me a summary!
 
kuna skendo hapa kutoka kwa maziwa mtindi, naomba ufafanuzi wa kueleweka kabla sijahama nyumba.

Honey mi nakujua daily uko stable!
Huoni huyo mvimbamacho anajaribu kutujazia nzi kwenye malavidavi yetu? Mamaa-Penzi hakuna kitu ya hivo.
Yaani dia huyu maziwa nini sijui! kaniharibia siku, niruhusu nikimbie Pemba fasta nikamshushe mshipa ! Unaijua gendar yake ? Tulia mpenzi,
* Wewe ndiyo usingizi wangu !
* Wewe ndiyo pumzi yangu !
* Wewe kwangu ni Alpha na O O onini vile? nimesahau utamalizia
 
naskia unambemenda Bagah sijui Erick baada ya Nitty kukumimina.
Hahahaaaa hili ndo nalisikia toka kwako....
Nitty ana shida zake na SL na BAGAH Jana kapata kimwana anaitwa Bi Nyakomba....
Amy hana tabia mbaya kama za Kabakabana....
 
Hivi PAROLE imepita JF...?
Nadhani FF na MS nao wako huru....!

Nitty
Mphamvu
.........
........
........
GMpoleeeeeeeee?
 
Mtoa mada, umeainisha Canta alimkwapua Rejao,
nimeanza kuamini kwani wote hawajatia maguu kwenye Uzi huu.
Iweje kutwa nzima Canta asiijibu hii tuhuma?
Mkupuliwa na mkupuaji wote dwiii, wamekula kobis .

Khaaaa!shemeji acha fitna kbs,unajua kbs namna mimba changa zinavozingua,leo nzima ckuwa fresh na liwazo langu ni Rejao mme wangu ameshinda akinipeti peti ndio maana hatukuja humu!ce hatujakwapuana tupendana na kuoana PERIOD.
 
naskia unambemenda Bagah sijui Erick baada ya Nitty kukumimina.

We we we nyu memba utasutwa aisee.. Nitty ni shemeji yangu mpendwa tena umuombe msamaha hii ni KASHFA!
Bagah ni mdogo wake erick haya bibie hayo ya kubemembenda yametoka wapi.. Mgando nachezea moto wewe..
 
Back
Top Bottom