Jf Couples (New Version)

Jf Couples (New Version)

Paw? hizi habari mnazitoa wapi? kweli hiyo couple inastahili "mmmhhh???"

Paw + King'asti (thou nimeona Memo nae kamshadadia wifi yangu; ngoja nimnyang'anye ile cigar inayompa maujanja!)

Russian Roulette + Invisible (Utanisamehe usinirushie makombora nimesikia hii rumor kwa Golden Mpolee, hapa Smile awe mpole)
 
Sisi Simba wenda kimya tunasubiri, yeyote atakayetemwa please holla tufanze mambo!.
 
Mtoa mada, umeainisha Canta alimkwapua Rejao,
nimeanza kuamini kwani wote hawajatia maguu kwenye Uzi huu.
Iweje kutwa nzima Canta asiijibu hii tuhuma?
Mkupuliwa na mkupuaji wote dwiii, wamekula kobis .
Tupo busy na kukiandalia maisha mazuri kiumbe chetu! Wife kachip in hapa na kuchomoka! Kwa kweli mambo yametubana sana! Ukizingatia tena na tarehe 1 april aka siku ya wajinga kuna target lazima niifanikishe, otherwise kiumbe chetu kitalala njaa!!!
 
I AM HEREBY DECLARING ZIS USEFUL THREAD ZE THREAD OF ZE MONTH March 2012!!!
Makofi kwa kwa kwa kwa kwa.........kwa kapo zote nawatakieni mapenzi mema , zaeni watoto kedekede ili hatimae jf tufungue kindergarten ya kwetu wenyewe!
 
Hahahaaaa we utakuwa mwalimu wa hiyo kindergarten...unafaa sana
 
anachojua huyu ni kusoma katikati ya miguu ya wanawake tu.

Kiliiiii liiiii liiiiiiii,
Well come back my dia X-mke mwenza,
Nilikumissije!
Ila nilikuwa nafarijika kwa uwepo wako wa namna ile lol!
 
Back
Top Bottom