Jf Couples (New Version)

Jf Couples (New Version)

Sikupi! Isijekuwa unataka kumwambia aniache kama wewe ulivyoachwa na Eliza wa T.
unaogopa eh? kwani una la kuficha? nataka nimwombe ani join for a drink leo level 8 Hyatt Kilimanjaro ili tuongee mambo ya wanaume.
 
unaogopa eh? kwani una la kuficha? nataka nimwombe ani join for a drink leo level 8 Hyatt Kilimanjaro ili tuongee mambo ya wanaume.
Utamfundisha mume wangu tabia mbaya...mtafute alieachika mwenzio mwende nae, nitty hapana!
 
Chu chu chu, to to to, ajigi jigi jigi.

Karibu hapa, achana na halmashauri hizo, njoo ikulu kabisa.

Utaanziaje mkia wakati kichwa niko hapa.

Shem ninachokupendea ni utunzaji mzuri wa kumbukumbu ktk halmashauri ya kichwa yako lol big up
 
Utamfundisha mume wangu tabia mbaya...mtafute alieachika mwenzio mwende nae, nitty hapana!

My sweety love i love you so much siwezi kuwa mlevi kama bishanga, bishanga alishashindikana
 
Back
Top Bottom