JF Competition 2012: Judges & Sponsors

Mkuu kwa niamba ya Super man (kwa post hii tu.. Lol) kwa urahisi nenda katika shindano husika post kuwa wewe utakuwa mdhamini pia. Udhamini ni unlimited, yeyote anaruhusiwa. Asante saana kwa moyo wako wa kutoa. Pamoja saana.

Nimeshapost sasa sijapata majibu.
 
AshaDii uliyoyaandika yana ukweli ndani?

Suala ni Je; mtu akiwa Judge haruhusiwi kuwa Contenstant? Au anaruhusiwa ila katika shindano husika hataruhusiwa kuwa Judge?

Kuna fact kuwa lara 1 alipenda kuendesha shindano hili Mwaka huu. Unfortunately hakuwa anajua kuwa huwa linaendeshwa kila mwaka toka 2009. Nilipopata habari nilifurahi na ilikuwa kusudio langu kumkabidhi mikoba ili niweze kustaafu. Ila its few weeks now toka hoja hii iletwe kwangu sijamsikia Lara 1 wala maoni yake ingawa mawasiliano ya kimsingi yamefanyika.

That being the case I am taking kuwa ama yuko busy sana ama hayuko interested of which tusipopata uthibitisho wake itabidi tumtoe katika list ya judgez ambayo awali niliombwa ahusishwa na kukubali kwa heshima kuu.

Kuhusu yeye kuwa contestant of course wengi tunamkubali hasa katika kuanzisha threads ambazo zinachangamsha jamvi.

so, let us leave the balls to lara 1 na gfsonwin ili tusikie maoni yao!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu embu nieleweshe hapo tuna sponsour nini? Btw I can sponsour nikipata uelewa wa kile ninachosponsour. Asante.
 


Kamanda ubarikiwe sana. tuko pamoja!
 
Dah, Mkuu Superman naona nilimiss connection kumbe kuna thread anzilishi basi kama nilipita nitakuwa nimesahau, uzee huu wajameni. Count me katika Sponsors na nifahamishe jinsi ya kutuma mkishakubaliana.


Mkuu @Zongwale asante sana na ubarikiwe. Ngoja ni update list.
 

Je, unathibitisha sasa kuwa nikutoe katika U-Judge?
 


Mkishakubaliana mnipe Summary!
 
Je, unathibitisha sasa kuwa nikutoe katika U-Judge?

naomba umtoe tu mkuu....

lakin pia i was of the opinion that hii id ya lara1 hii....!hii naona ina nyota yake na ni bora ukafikiria kuirudisha iwe competitor
 


Mkuu nashukuru sana kwa kujitosa. Sina uhakika na shindano lingine linaloendelea, maana so far najua mashindano haya yanameanza toka 2009. Si vibaya tukijua kinachoendelea katika threads zingine.

Naliongeza jina lako katika listi. Ubarikiwe!
 


Asante mkuu... Naomba niseme kuwa what mattes ni kwa sasa kuwa lara 1 kakubali kujitoa ujudge na atakuwa mmoja wa washiriki wa kinyang'anyiro upande wa MMU na pia gfsonwin kisha confirm katika hii thread kukubali kutoka u-judge na kuwa mmoja wa washiriki wa MMU na Woman of the year 2013.

Pamja saana.
 
Last edited by a moderator:

...ama ana id nyingine anaitumia kwakuwa tu HAYUKO INTERESTED...!which is not fair to the jf members...she has to come out
 
Ishu ya ID nyingi na upigaji kura itakuwaje. Maana kadri zawadi na umaarufu wa shindano unavyoongezeka ndivyo "tafrani" litavyoongezeka.

Mama mkwe AshaDii na Superman mmeshalielezea hili?
 
Last edited by a moderator:


:grouphug: - Pamowjer Saana - :grouphug:
 
...ama ana id nyingine anaitumia kwakuwa tu HAYUKO INTERESTED...!which is not fair to the jf members...she has to come out


Kulikuwa na mis understandings.... She is interested na kakubali kuwa mmoja wa wangombea. Tusubiri tu aje na mikeke yake a confirm. Seems hakuwa karibu na access.

Salamu zilizojaa upendo kwako Teamo... Happy holidays.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…