Nawatakia Merry Xmas and Happy ne Year marafiki, ndugu na jamaa wote wa hapa JF kiroho safeey
Nawapenda wote
CC AshaDii gfsonwin DEMBA kiwatengu Mr Rocky Arushaone Heaven on Earth mwallu Mentor Dark City Kongosho Fixed Point Preta PakaJimmy Filipo marejesho Mwanyasi Paloma Asprin Fidel80 amu Ennie obsesd Mtoto halali na hela Tized sungura1980 Baba V Husninyo RR Teamo King'asti Mtambuzi Jeska Kipaji Halisi Madame B snowhite Karucee The Boss BAK kabanga Tonykp major mwenda miss strong
Asante sana Mkuu Kaizer
Heri hizo zikurudie na wewe na uwe na msimu mzuri wa sikukuu ya Xmass na Mwaka Mpya weney mafanikio na wenye baraka za Mungu
Kwa akina Arushaone, Erickb52, Nicas Mtei, Mentor, kiwatengu, Mamndenyi, Preta, Lady doctor, sweetlady, snowhite, King'asti, Heaven on Earth, Madame B, Zion Daughter, gfsonwin, AshaDii, sosoliso, mwallu, Mwalu, Paloma, Passion Lady, charminglady, Blaki Womani, Lily Flower, Chocs, amu, Husninyo, Dena Amsi Vin Diesel, Mkirua, TANMO, SIMplicity, stevoh, BAK, Jiwe Linaloishi, , Filipo, Bishanga, Asprin, Dark City, Paw, Invisible, Moderator, Mzee wa Rula, PakaJimmy, Mungi, RUTashubanyuma, Ruttashobolwa, nawatakia kila la heri katika kuumaliza mwaka salama na kuuingia mwaka mwingine wa 2014
asante sana kaka binamu, nami nakutakia heri ya Xmas na Mwaka mpya uwe na afya nzuri na uepushwe na baya lolote lile na mipango yako iwe kama ulivyo tarajia katika kipindi hiki na kipindi kijacho cha mwaka 2014.
Salamu hiyo iwafikie marafiki zangu wapendwa Arushaone, Erickb52, Kipaji Halisi The Boss, sweetlady, Chocs Bishanga, Passion Lady, baba yangu kipenzi watu8, my mama measkron, dogo lake Ladymasa, my sis charminglady ladyfurahia, The secretary mwekundu, nitonye Mapi, Baba V, PakaJimmy, Ruttashobolwa, Simplicity, Invisible, Judgement, sosoliso, DEMBA Kaizer, WA-UKENYENGE, Madame B, Nicas Mtei, Kijino, KOKUTONA, Paloma, YNNAH, I am Strong, my lovely kaka kabanga, Ben Saanane, Chimbuvu, Jiwe Linaloishi, Mwanyasi, LiverpoolFC, amu, Mzee wa Rula, Mamndenyi, 'Valentina', Wisest man(miss u), Lily Flower, Mzee, Evelyn Salt, slave, kobun, mathematics, @C6, Katavi, mkiva Asprin, Smile, farkhina, Preta, 24hrs na wanajf woote Mungu awalinde na awenanyi katika kipindi choote cha sikukuu na kipindi chote cha uhai wenu, mazuri yawe nanyi na mabaya awaepushie!!!!!
Salaam hizi ziwafikie wafuatao:-
Kwanza kwa familia yangu pendwa ya Daddy watu8 na Mummy measkron, Dada zandu wote sweetlady, WiseLady, Lady doctor, Passion Lady, ladyfurahia, Kaka yetu wa pekee Davie S.M.
Pili kwa Rock City Wing, Mwenyekiti Rock City, Home First, ram, Think pad, Elizabeth Dominic, Evelyn Salt, Mzee Gedeli na invisible member wote walioko Mwanza.
Tatu kwa Arusha Wing nikianza na Mwenyekiti PakaJimmy, Mlezi wa Rock Wing Arushaone, Erickb52, Mungi, Preta, Mzee wa Rula, marejesho, Filipo, Mr Rocky, Mkirua, black womani, Lily Flower, Tonypk na Invisible members wote mliopo Arusha.
Nne kwa Dar Wing ikiongozwa na Mzee Mtambuzi, Babu Asprin, Dada zangu wakubwa heshima kwenu gfsonwin, AshaDii, cacico, snowhite, Paloma, Chocs, Heaven on Earth, amu, Madame B, Mentor, Zion Daughter, sosoliso, Husninyo, Vin Diesel, TANMO, Simplicity, stevoh, BAK, Mwita Maranya Jiwe Linaloishi, My Lawyer Ruttashobolwa na Invisible member wote mliopo Dar Wing....
Tano kwa Tanga Wing.. Kunani paleee eeeh! Naanza na Babu yangu Dark City, YNNAH, Mwanyasi, KOKUTONA, Ennie na Invisible members wote mliopo TA...
Sita kwa unknown location..... Nikianzia kwa kaka mkubwa Kaizer, Joe Nyandigira, KakaJambazi, Nicas Mtei, SnowBall, Slave na wengineo
Mwisho kabisa napenda kuwatumia salamu za sikukuu viongozi wote wa JF nikianza na Founder @maxence mello Mungu awe nawe, Mike McKee, Fang, Paw, Invisible, Buchanan, Moderator na wengineo....
Salamu za upendeleo kwa yule inaesumbua moyo yangu Slave shostito wa ukwee Madame B, Passion Lady, Lady doctor best angu charminglady, mama ya mizombie Kongosho, msimuliaji wa ukwee lara 1, wazee waliozeeka na maini yao Baba V na Asprin, Mentor nimekumiss sana, Mr Rocky kama hautajali naomba christmass nikutoe out..... Simplicity boxing day ntakuhitaji pembeni yangu, babu Dark City sijakusahau.
nawatakieni heri ya christmass :busu
Asante rafiki na mdogo wangu charminglady kwa salami zako.
Nami pia nikutakie mwaka mpwa mwema na wenye mafanikio kwako.
Asante
raha sana Passion Lady
Mbona hujanikaribisha aise nije kula Xmass na wewe Eli79 mchunge sana shem isije ikawa ni shem zima taa
Xmass njema wapendwa
Zimenifikia mpendwa.Asante sana.Mzima wewe lakini? mbona kimya sana?Punguza kidogo kule siasaniZion Daughter popote ulipo salamu hizi zikufikie.
raha sana Passion Lady
Mbona hujanikaribisha aise nije kula Xmass na wewe Eli79 mchunge sana shem isije ikawa ni shem zima taa
Xmass njema wapendwa
Mr Rocky ...Thank you muchAsante sana Mkuu Kaizer
Heri hizo zikurudie na wewe na uwe na msimu mzuri wa sikukuu ya Xmass na Mwaka Mpya weney mafanikio na wenye baraka za Mungu
Kwa akina Arushaone, Erickb52, Nicas Mtei, Mentor, kiwatengu, Mamndenyi, Preta, Lady doctor, sweetlady, snowhite, King'asti, Heaven on Earth, Madame B, Zion Daughter, gfsonwin, AshaDii, sosoliso, mwallu, Mwalu, Paloma, Passion Lady, charminglady, Blaki Womani, Lily Flower, Chocs, amu, Husninyo, Dena Amsi Vin Diesel, Mkirua, TANMO, SIMplicity, stevoh, BAK, Jiwe Linaloishi, , Filipo, Bishanga, Asprin, Dark City, Paw, Invisible, Moderator, Mzee wa Rula, PakaJimmy, Mungi, RUTashubanyuma, Ruttashobolwa, nawatakia kila la heri katika kuumaliza mwaka salama na kuuingia mwaka mwingine wa 2014
Salaam hizi ziwafikie wafuatao:-
Kwanza kwa familia yangu pendwa ya Daddy watu8 na Mummy measkron, Dada zandu wote sweetlady, WiseLady, Lady doctor, Passion Lady, ladyfurahia, Kaka yetu wa pekee Davie S.M.
Pili kwa Rock City Wing, Mwenyekiti Rock City, Home First, ram, Think pad, Elizabeth Dominic, Evelyn Salt, Mzee Gedeli na invisible member wote walioko Mwanza.
Tatu kwa Arusha Wing nikianza na Mwenyekiti PakaJimmy, Mlezi wa Rock Wing Arushaone, Erickb52, Mungi, Preta, Mzee wa Rula, marejesho, Filipo, Mr Rocky, Mkirua, black womani, Lily Flower, Tonypk na Invisible members wote mliopo Arusha.
Nne kwa Dar Wing ikiongozwa na Mzee Mtambuzi, Babu Asprin, Dada zangu wakubwa heshima kwenu gfsonwin, AshaDii, cacico, snowhite, Paloma, Chocs, Heaven on Earth, amu, Madame B, Mentor, Zion Daughter, sosoliso, Husninyo, Vin Diesel, TANMO, Simplicity, stevoh, BAK, Mwita Maranya Jiwe Linaloishi, My Lawyer Ruttashobolwa na Invisible member wote mliopo Dar Wing....
Tano kwa Tanga Wing.. Kunani paleee eeeh! Naanza na Babu yangu Dark City, YNNAH, Mwanyasi, KOKUTONA, Ennie na Invisible members wote mliopo TA...
Sita kwa unknown location..... Nikianzia kwa kaka mkubwa Kaizer, Joe Nyandigira, KakaJambazi, Nicas Mtei, SnowBall, Slave na wengineo
Mwisho kabisa napenda kuwatumia salamu za sikukuu viongozi wote wa JF nikianza na Founder @maxence mello Mungu awe nawe, Mike McKee, Fang, Paw, Invisible, Buchanan, Moderator na wengineo....
Mpwa nimeona nilikuwa Uchindile
natumai umerudi mkuu....chuda raha
Zion DaughterMr Rocky ...Thank you much