Jf Chit chat! Special Thread: Chrismass & New Year 2014 Wishers!!

Jf Chit chat! Special Thread: Chrismass & New Year 2014 Wishers!!

Mr Rocky umesikia mkuu?

asante kwa salamu kaizer.... nakutakia msumu mwema wa sikukuu kwako na familia yako na wana jf wote kwa ujumla!

mungu awabariki kila mmoja wenu kwa nafasi yake..... mmekuwa wema saana kwangu kupitia nyie nimejifunza mengi mnoo.

mbarikiwe woote.
 
Nawatakia sikukuu njema na mwaka mpya wenye mafanikio tele. Yale yote ambayo hamkufanikiwa kuyatimiza mwaka huu basi inshaallah mwenyezi mungu awafanyie wepesi mwakani myatimize...
 
asante sana mkuu kaizer
heri hizo zikurudie na wewe na uwe na msimu mzuri wa sikukuu ya xmass na mwaka mpya weney mafanikio na wenye baraka za mungu
kwa akina arushaone, erickb52, nicas mtei, mentor, kiwatengu, mamndenyi, preta, lady doctor, sweetlady, snowhite, king'asti, heaven on earth, madame b, zion daughter, gfsonwin, ashadii, sosoliso, mwallu, mwalu, paloma, passion lady, charminglady, blaki womani, lily flower, chocs, amu, husninyo, dena amsi vin diesel, mkirua, tanmo, simplicity, stevoh, bak, jiwe linaloishi, , filipo, bishanga, asprin, dark city, paw, invisible, moderator, mzee wa rula, pakajimmy, mungi, rutashubanyuma, ruttashobolwa, nawatakia kila la heri katika kuumaliza mwaka salama na kuuingia mwaka mwingine wa 2014

thanx much Mr Rocky. Nichukue nafasi hii kuwatakia wana cc wote heri ya krismasi na mwaka mpya.
 
Last edited by a moderator:
Nawatakia heri ya sikuu ya noel na mwaka mpya wa mafanikio
 
Attachments

  • 1387205545032.jpg
    1387205545032.jpg
    44.3 KB · Views: 42
asante kwa salamu kaizer.... nakutakia msumu mwema wa sikukuu kwako na familia yako na wana jf wote kwa ujumla!

mungu awabariki kila mmoja wenu kwa nafasi yake..... mmekuwa wema saana kwangu kupitia nyie nimejifunza mengi mnoo.

mbarikiwe woote.

Asante obsesd kwa wishes pia....tupo pamoja
 
Last edited by a moderator:
haaaa Mamndenyi wewe tena halafu ujue zile sredi za Nyumba ndogo hujanambia ulitaka kuzifanyia nini.. MErry Xmas and Happy New Year!:busu

Asante na wewe sikukuu njema sana. Ile ya nyumba ndogo ninataka tu kuona whats there hakuna zaidi. Asante kwa kuniunganisha nao.
 
Last edited by a moderator:
Wana Chit Chat!
Msimu wa sikukuu ndiyo umefika sasa.

Naamini kila mmoja kwa namna yake ataenjoy na kufurahia sikukuu hizi.

Sasa kwa kupitia huu uzi, naombeni tupeane wishers zetu.

Wenye maua na mivuto mingine ya Ujumbe wa kiholidays!
Tupia hapa tufurahie pamoja.
Tupia hapa na salamu zako,
Za sikukuu!!

Marry Christmass and Happy New Year 2014..

Pamoja sana mkuu
 
Na mimi nawatakia jf nzina sikukuu njema nikisema niwataje majina dah! itakuwa shughuli maana kuna majina magumu kama mizizi ya mikaravati, jaman sikukuu njema tuuage mwaka vizuri tuukaribishe mwaka vizuri kwa raha na aman wajamen nawapenda sana na nawakaribisha mje tusherekee wote hii sikukuu
 
Mimi najitakia mwenyewe heri ya sikuku ya christimass na mwaka mpya......

Cc BAK naomba unibuludishe na song moja matata sana mkuu.

Mungu akuzidishie HEKIMA na BUSARA viwe kilemba kwako.
 
Last edited by a moderator:
Nawatakia sikukuu njema na mwaka mpya wenye mafanikio tele. Yale yote ambayo hamkufanikiwa kuyatimiza mwaka huu basi inshaallah mwenyezi mungu awafanyie wepesi mwakani myatimize...

Ameen...
 
Na mimi nawatakia jf nzina sikukuu njema nikisema niwataje majina dah! itakuwa shughuli maana kuna majina magumu kama mizizi ya mikaravati, jaman sikukuu njema tuuage mwaka vizuri tuukaribishe mwaka vizuri kwa raha na aman wajamen nawapenda sana na nawakaribisha mje tusherekee wote hii sikukuu

Tunakupenda pia,mi ntakuja.
 
asante kwa salamu kaizer.... nakutakia msumu mwema wa sikukuu kwako na familia yako na wana jf wote kwa ujumla!

mungu awabariki kila mmoja wenu kwa nafasi yake..... mmekuwa wema saana kwangu kupitia nyie nimejifunza mengi mnoo.

mbarikiwe woote.

Hivi obsesd ndo kusema unamtakia homeboy wangu Kaizer anywe msumu mkali au??
 
Last edited by a moderator:
Asante sana Mkuu Kaizer
Heri hizo zikurudie na wewe na uwe na msimu mzuri wa sikukuu ya Xmass na Mwaka Mpya weney mafanikio na wenye baraka za Mungu
Kwa akina Arushaone, Erickb52, Nicas Mtei, Mentor, kiwatengu, Mamndenyi, Preta, Lady doctor, sweetlady, snowhite, King'asti, Heaven on Earth, Madame B, Zion Daughter, gfsonwin, AshaDii, sosoliso, mwallu, Mwalu, Paloma, Passion Lady, charminglady, Blaki Womani, Lily Flower, Chocs, amu, Husninyo, Dena Amsi Vin Diesel, Mkirua, TANMO, SIMplicity, stevoh, BAK, Jiwe Linaloishi, , Filipo, Bishanga, Asprin, Dark City, Paw, Invisible, Moderator, Mzee wa Rula, PakaJimmy, Mungi, RUTashubanyuma, Ruttashobolwa, nawatakia kila la heri katika kuumaliza mwaka salama na kuuingia mwaka mwingine wa 2014
Ubarikiwe Kiongozi nataki wewe na wana JF wote Heri ya Christmass na mwaka mpya wenye mafanikio
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom