Arushaone
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 15,235
- 13,539
Salaam zangu za upendo kwa mke wangu mpenzi Lady doctor akiwa safarini Botswana.
Ujumbe: Nampenda sana!
Ujumbe: Nampenda sana!
Last edited by a moderator:
Salaam zangu za upendo kwa mke wangu mpenzi Lady doctor akiwa safarini Botswana.
Ujumbe: Nampenda sana!
Salaam zangu za upendo kwa mke wangu mpenzi Lady doctor akiwa safarini Botswana.
Ujumbe: Nampenda sana!
Nawatakia wana cc wote kheri ya christmas bila kumsahau my akanana Passion Lady na Lady doctor.
supriseeee!!!!!! \*""*Ua*""**/
\*Maalum*/
****la***/ \**chrisimas/
\*2013*/
\*****/
\*"'*/
\**/
\*/
Nimeona nianze mapema kukukabidhi zawadi za chrismas ucje ukasema ooh hata zawadi hakunipa nakukabidhi ua ili,linukishe maisha yako,tafadhali usimpe mtu,kwani ni wewe pekee uliebarikiwa kulipata.Zawadi hii ukiulizwa umepewa na nani,jibu nimepewa na anaenipenda, anaenijali na kunikumbuka.
Nawatakia wana cc wote kheri ya christmas bila kumsahau my akanana Passion Lady na Lady doctor.
supriseeee!!!!!! \*""*Ua*""**/
\*Maalum*/
****la***/ \**chrisimas/
\*2013*/
\*****/
\*"'*/
\**/
\*/
Nimeona nianze mapema kukukabidhi zawadi za chrismas ucje ukasema ooh hata zawadi hakunipa nakukabidhi ua ili,linukishe maisha yako,tafadhali usimpe mtu,kwani ni wewe pekee uliebarikiwa kulipbtffffft g g c ggtgata.Zawadi hii ukiulizwa umepewa na nani,jibu nimepewa na anaenipenda, anaenijali na kunikumbuka.
Salaam hizi ziwafikie wafuatao:-
Kwanza kwa familia yangu pendwa ya Daddy watu8 na Mummy measkron, Dada zandu wote sweetlady, WiseLady, Lady doctor, Passion Lady, ladyfurahia, Kaka yetu wa pekee Davie S.M.
Pili kwa Rock City Wing, Mwenyekiti Rock City, Home First, ram, Think pad, Elizabeth Dominic, Evelyn Salt, Mzee Gedeli na invisible member wote walioko Mwanza.
Tatu kwa Arusha Wing nikianza na Mwenyekiti PakaJimmy, Mlezi wa Rock Wing Arushaone, Erickb52, Mungi, Preta, Mzee wa Rula, marejesho, Filipo, Mr Rocky, Mkirua, black womani, Lily Flower, Tonypk na Invisible members wote mliopo Arusha.
Nne kwa Dar Wing ikiongozwa na Mzee Mtambuzi, Babu Asprin, Dada zangu wakubwa heshima kwenu gfsonwin, AshaDii, cacico, snowhite, Paloma, Chocs, Heaven on Earth, amu, Madame B, Mentor, Zion Daughter, sosoliso, Husninyo, Vin Diesel, TANMO, Simplicity, stevoh, BAK, Mwita Maranya Jiwe Linaloishi, My Lawyer Ruttashobolwa na Invisible member wote mliopo Dar Wing....
Tano kwa Tanga Wing.. Kunani paleee eeeh! Naanza na Babu yangu Dark City, YNNAH, Mwanyasi, KOKUTONA, Ennie na Invisible members wote mliopo TA...
Sita kwa unknown location..... Nikianzia kwa kaka mkubwa Kaizer, Joe Nyandigira, KakaJambazi, Nicas Mtei, SnowBall, Slave na wengineo
Mwisho kabisa napenda kuwatumia salamu za sikukuu viongozi wote wa JF nikianza na Founder @maxence mello Mungu awe nawe, Mike McKee, Fang, Paw, Invisible, Buchanan, Moderator na wengineo....
![]()
asante sana kaka binamu, nami nakutakia heri ya Xmas na Mwaka mpya uwe na afya nzuri na uepushwe na baya lolote lile na mipango yako iwe kama ulivyo tarajia katika kipindi hiki na kipindi kijacho cha mwaka 2014.
Salamu hiyo iwafikie marafiki zangu wapendwa Arushaone, Erickb52, Kipaji Halisi The Boss, sweetlady, Chocs Bishanga, Passion Lady, baba yangu kipenzi watu8, my mama measkron, dogo lake Ladymasa, my sis charminglady ladyfurahia, The secretary mwekundu, nitonye Mapi, Baba V, PakaJimmy, Ruttashobolwa, Simplicity, Invisible, Judgement, sosoliso, DEMBA Kaizer, WA-UKENYENGE, Madame B, Nicas Mtei, Kijino, KOKUTONA, Paloma, YNNAH, I am Strong, my lovely kaka kabanga, Ben Saanane, Chimbuvu, Jiwe Linaloishi, Mwanyasi, LiverpoolFC, amu, Mzee wa Rula, Mamndenyi, 'Valentina', Wisest man(miss u), Lily Flower, Mzee, Evelyn Salt, slave, kobun, mathematics, @C6, Katavi, mkiva Asprin, Smile, farkhina, Preta, 24hrs na wanajf woote Mungu awalinde na awenanyi katika kipindi choote cha sikukuu na kipindi chote cha uhai wenu, mazuri yawe nanyi na mabaya awaepushie!!!!!
Shukrani Lady doctor. Tuonane upande wa pili kule
thanx switat!!
mic u mingiiii!
pacha baadae nitakutafuta kwenye mokibel tusogoe nikobored kweli huku kila mtu anagonga lugha yake
nimekumiss weye acha tu.