Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 3,475
- 5,900
Idadi yenu mpaka muda huu hamjafika mia mbili wanaochangia uzi huu.Hapa ni NO REFORMS NO ELECTION ndicho tulicho nacho
Tupo break ngoja turudi ndio utajua haujui.Idadi yenu mpaka muda huu hamjafika mia mbili wanaochangia uzi huu.
CCM wana wanachama milioni 13.5 kwa takwimu za 2020-21 mnao mlima mrefu sana wa kupanda mpaka lengo lenu liweze kutimizwa.
Alhamdulillah