Tusibaki kinyonge JF ili tuje kuwa sehemu ya historia.. Mitandao mingine imeshakiwasha na kampeni inaenda vema sana...
Challenge yetu ni kufikisha replies 3000 by Jumatatu na comments zake ni
NO REFORMS NO ELECTION
N.RN.E
NoReNoE
Ama picha
Ama mchoro
Ama style yoyote ya maneno lakini ujumbe ukiwa mmoja tuu.. No reforms no election..!
Hata chawa akijaribu kuharibu uzi jibu lake liwe moja tu.. NO REFORMS NO ELECTION
Ombi kwa Moderator: tunaomba muulee na kuutunza huu uzi🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
View attachment 3359751
Haifiki. Mtasubiri sana. Mtu mmoja anarudia rudia Nrne mara 100.Here we are hope tomorrow tunahit 3k
Mkuu Mshana, mnapoteza muda wenu bure humu mitandaoni.Tusibaki kinyonge JF ili tuje kuwa sehemu ya historia.. Mitandao mingine imeshakiwasha na kampeni inaenda vema sana...
Challenge yetu ni kufikisha replies 3000 by Jumatatu na comments zake ni
NO REFORMS NO ELECTION
N.RN.E
NoReNoE
Ama picha
Ama mchoro
Ama style yoyote ya maneno lakini ujumbe ukiwa mmoja tuu.. No reforms no election..!
Hata chawa akijaribu kuharibu uzi jibu lake liwe moja tu.. NO REFORMS NO ELECTION
Ombi kwa Moderator: tunaomba muulee na kuutunza huu uzi🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
View attachment 3359751
Hapa ni NO REFORMS NO ELECTION ndicho tulicho nachoMkuu Mshana, mnapoteza muda wenu bure humu mitandaoni.
Daftari la wapiga kura limeshaboreshwa tangu mwezi March mwaka huu.
Watakaopiga kura uchaguzi wa mwaka huu ni wengi kuliko wale wa 2020.
No Reforms, No Elections.Tusibaki kinyonge JF ili tuje kuwa sehemu ya historia.. Mitandao mingine imeshakiwasha na kampeni inaenda vema sana...