JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

20250608_203621.jpg
 
No reforms no election
Mungu mbariki yeyote anayetetea haki,
Yeyote mwenye hofu ya Mungu atakemea uovu.,na hakuna mtu anayefurahia binadamu mwenzie kumwaga damu.
Kuua,kuteka huu ni ushetani na Mungu wetu hapendi na katika amri zake anasema TUSIUE.

Sisi tunapenda haki itendeke maana haki huinua Taifa,
Haki huleta Amani katika Taifa.
Pasipo haki hakuna amani,Na Taifa litaangamia kwa machafuko.
 
No reforms no election
Mungu mbariki yeyote anayetetea haki,
Yeyote mwenye hofu ya Mungu atakemea uovu.

Sisi tunapenda haki itendeke maana haki huinua Taifa,
Haki huleta Amani katika Taifa.
Pasipo haki hakuna amani,Na Taifa litaangamia kwa machafuko.
92821eb4-36ac-4d29-b67f-3750bff121e4_1600x900.jpg
 
Tusibaki kinyonge JF ili tuje kuwa sehemu ya historia.. Mitandao mingine imeshakiwasha na kampeni inaenda vema sana...

Challenge yetu ni kufikisha replies 3000 by Jumatatu na comments zake ni
NO REFORMS NO ELECTION
N.RN.E
NoReNoE
Ama picha
Ama mchoro
Ama style yoyote ya maneno lakini ujumbe ukiwa mmoja tuu.. No reforms no election..!
Hata chawa akijaribu kuharibu uzi jibu lake liwe moja tu.. NO REFORMS NO ELECTION

Ombi kwa Moderator: tunaomba muulee na kuutunza huu uzi🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
View attachment 3359751
NRNE
 
Back
Top Bottom