JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K


No reforms No election
 
hii nonsense ni useless field na ground mmebaki kutafutana wenyewe kwa wenyewe tu humu humu jukwaani 🀣

wew binafsi umecreate fake IDs ngapi mpaka sasa, achilia mbali zombie wengine kwani kwaajili hiyo gentleman?

eti 3k🀣
sasa 3k ndio mtafanya nini wapi kwa mfano gentleman?πŸ’
 
Wanaweza wakaufuta hawa jamaa nao wamekaa kichawa. Kuna nyuzi ile ya kura za samia wameufuta nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…