JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

Mimi nawaunga mkono, msiingie kwenye uchaguzi.

Kwanini tuwalazimishe haki yenu?

Nyinyi msiweke wagombea na msipige kura. Sisi tunaweka wagombea na tunapiga kura.

Hakuna kulazimishana, au sio?
 
Daaah kuna watu mna nguvu sana humu JF... Post ya siku 3 au 4 tu tayari page 154... Very good Mshana... Anyway nisisahau...

#NO REFORMS
#NO ELECTION

Labda kama itakua #EREC*ION...
 
Mimi nawaunga mkono, msiingie kwenye uchaguzi.

Kwanini tuwalazimishe haki yenu?

Nyinyi msiweke wagombea na msipige kura. Sisi tunaweka wagombea na tunapiga kura.

Hakuna kulazimishana, au sio?
2019/2020 pamoja na 2024 kuna bajeti kubwa sana ya billions iitengwa kwa ajili ya uchaguzi, hizi pesa zilikuwa nyingi kuweza kujenga madaraja kama ya Busisi au Maragarasi zaidi ya 10. Tungelitumia busara kama nchi tukazielekeza hizi pesa kwenye matumizi sahihi na kuwaacha viongozi waliokuwepo kuendelea hata Mungu angeritubariki kwa kusema na kutenda UKWELI na HAKI badala ya hizi ghiriba.
Au ndio unataka tusubiri historia ije kuandika kuwa hakukuwahi kuwepo na chaguzi au kuandika vitabu kuomba misamaha kama Mzee Mkapa!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…