Ahsante sana Kaka Mkubwa.You did itπͺπΏπͺπΏπͺπΏπͺπΏππ¨ proud of you!
Shukrani Dada mkubwaπππππ₯Hongereni sana kwa kazi kubwa, Kaka Mshana Jr naona Mkuu Ryan Holiday ukaamua kuimalizia rasmi, hongera sana. Na wote mlioshiriki kwa namna moja ama nyingine. Lengo limefikiwa. Kukiwa na nia, kwa pamoja tunaweza. π«‘πͺππ€
#NO REFORMS NO ELECTION.
#FREE TUNDU LISSU. βοΈ
Shukrani sana Dada Mkubwa Bantu LadyHongereni sana kwa kazi kubwa, Kaka Mshana Jr naona Mkuu Ryan Holiday ukaamua kuimalizia rasmi, hongera sana. Na wote mlioshiriki kwa namna moja ama nyingine. Lengo limefikiwa. Kukiwa na nia, kwa pamoja tunaweza. π«‘πͺππ€
#NO REFORMS NO ELECTION.
#FREE TUNDU LISSU. βοΈ
T-Shirts, Baseball caps, Key holders, Openers, Miavuli yenye nembo ya NRNE itengenezwe iuzwe wakati wote wa kampeni hii ikienda sambamba na kuandikisha wanachama wapya. Kitengezwe kitengo cha marketing haraka sana.... πTunataka tshrt.... na sisi tulio mbali zitufikie