Mwisho Neno la shukrani: Asanteni wote mlioshiriki challenge hii kea nidhamu ya hali ya juu na upendo mkuu.. Kea mara ya kwanza JF muktadha wa mada umezingatiwa kwa asilimia 100✌🏿📌🔨✌🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Kila reply ilikuwa ina umuhimu wa kipekee mno kwenye kutimiza lengo..Niwashukuru sana sana.. Sasa ni wakati wa kujiachia na kupongezanq.. Andika chochote sass cha kumpongeza yeyote kufanikisha hii challenge ✌🏿💪🏿💪🏿💪🏿
Wale wa upande wa pili walijaribu kuiga lakini leo ni siku ya pili hawajafikisha replies 140🤔🥺😂
JF ni role model wa mitandao mingine.. Kinachofanyika hapa huakisi uhalisia ulivyo nje ya hapa.. Naamini mamlaka zitaichukulia hii challenge katika mtazamo chanya zaidi na kutenda kulingana na mahitaji ya wengi
Shukrani wife
Jr™
View attachment 3362419