Jf bhana!

Kuna member aliwahi kunifata pm anaomba nimfollow na niwe nampa likes dah nilichoka sana 😹😹😹

Nikawaza hivi kumbe JF kuna watu wanaichukulia serious km maisha yao halisi kiasi hiki?? Nikajua wagonjwa wa bipolar D hawaji kuisha…!! 😹
 
Wale wa kula tunda kimasihara ndio wanaongoza😆😆


Bora wale wakutupia kituko tucheke.
 
Hivi kwani chai hazipo???
 
Dada To yeye, kwani
chai hazipogo?
Malaya hawapo?
Singlemom hawagongwi?
😀 😀 😀
 
Serious?
 
Hahahaha,pole, Rafiki
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…