FairPlayer
JF-Expert Member
- Feb 27, 2006
- 4,145
- 716
Mzee Es,
Kuhusu ujenzi na ajira. Naomba uangalie Ubalozi wa US bongo ulivyojengwa. asilimia kubwa ya vitu na watu walitoka US. Tanzania ilifaidika kidogo sana.
Angalia mfano wa Shoprite na maduka makubwa ya kigeni bongo, unajua mpaka leo wana Import nyama na bidhaa nyingine? sababu wanasema hatuna vitu vyenye quality nzuri.
Kwahiyo kiuchumi inawezekana hatutafaidika sana.
By the way kweli US wanahitaji kuweka kambi hapa bongo?! dhidi ya nani hasa? mimi naona hawana haja ya kufanya hivyo, bongo imeshajichokea yenyewe kiuchumi kwa kuuza kila kitu, labda tuwe na mafuta.