Jf-arusha wing...safari updates

....now here comes my very own byutifu girl!
Waambie na kisha ubaelezee.
Wadau, Preta ndiye secretary wa komitii yetu adhimu.
Protoko imezingatiwa.

pia sitasahau kukaanga mahindi kwa ajili ya bites za njiani (sio popcorn), nategemea kutakuwa na members wengi ambao tutaungana katika safari hii
 
iiko.keiyaa lalashe.nimeifurahia hiyo.bahati mbaya sitakuwepo a-town tarehe hizo.
 
duh na maziwa tafadhali

yapi sasa....mgando au fresh.....ngoja nikachume kibuyu chako kabisa, ili safari ikifika kitakuwa kimekauka na maziwa yatakuwa ndani yake.......nikirembe na shanga?
 
na mm nitapenda kujumuika ila napenda kufahamishwa huko mbugani tutalala hotel za nyota au tutatumia hostel manake kwa ninavyoelwa kila kitu hufanyika kwa booking , kama tutalala hostel mtanihakikishiaje usalama wangu mi bado bikira
 
Mmmmmmh mnanitega kwa hili wakuu... tatizo ntakua pande za kaskazini kuanzia tar 23.. jioni ila kama kawaida raha zinazopatikanaga huko muda huwa haunitoshi kabisa ila tutawasiliana
 
na mm nitapenda kujumuika ila napenda kufahamishwa huko mbugani tutalala hotel za nyota au tutatumia hostel manake kwa ninavyoelwa kila kitu hufanyika kwa booking , kama tutalala hostel mtanihakikishiaje salama wangu mi bado bikira

ni day trip mkuu....hata hivyo hotel ni nyingi sana booking itafanyika kama ikilazimu
 
Mmmmmmh mnanitega kwa hili wakuu... tatizo ntakua pande za kaskazini kuanzia tar 23.. jioni ila kama kawaida raha zinazopatikanaga huko muda huwa haunitoshi kabisa ila tutawasiliana

nategemea kukuona sweet pie
 
ni day trip mkuu....hata hivyo hotel ni nyingi sana booking itafanyika kama ikilazimu
Mm binti ila nashukuru kwa ufafanuzi isipokuwa pj kataja maeneo matatu hayawezi kufikika cku moja kwa kuangalia vivutio labda rally
 
na mm nitapenda kujumuika ila napenda kufahamishwa huko mbugani tutalala hotel za nyota au tutatumia hostel manake kwa ninavyoelwa kila kitu hufanyika kwa booking , kama tutalala hostel mtanihakikishiaje usalama wangu mi bado bikira
Dadaangu, kama ni mzoefu JF ina watu wenye upendo sana, yaani ukichokozwa hatutakaa pembeni na kutizama,bali tunatumia falsafa ya .."You hit me-We hit you!..all in all hakuna kugombana tukiwa in physical contact...Kama kuna mabifu yataishia huku kwenye keyboard!

Tunajaribu kuongea na watu wa huko tuangalie uwezekano wa hostel, ingawa kwa sehemu zingine inawezekana kabisa kwenda na kurudi SIKU HIYOHIYO!..
Nitumie namba yako kwa PM ili tuelezane wapi pa kukutana ili kujadili suala hili mapema iwezekanavyo!
 
Mm binti ila nashukuru kwa ufafanuzi isipokuwa pj kataja maeneo matatu hayawezi kufikika cku moja kwa kuangalia vivutio labda rally

karibu sana ila nimejitahidi kuipitia thread mara mbili mbili nikaona kwamba ameandika...mbuga yoyote ya wanyama iliyopo pande ya huku (kaskazini).....ninavyoelewa kuna tarangire, manyara, ngorongoro na Momela, ambazo zinaweza kufikiwa kwa siku moja na kurudi bila kulala, serengeti ndio inaweza kuwa ishu lakini pia haishindikani ni mambo ya mipango tu.....most welcome
 
Mmmmmmh mnanitega kwa hili wakuu... tatizo ntakua pande za kaskazini kuanzia tar 23.. jioni ila kama kawaida raha zinazopatikanaga huko muda huwa haunitoshi kabisa ila tutawasiliana
Jitahidi uwahi babaake!
Haya mambo yanakwenda kitaalamu zaidi!
Angalia ratiba yako, ikitiki tujulishe!
 
karibu sana ila nimejitahidi kuipitia thread mara mbili mbili nikaona kwamba ameandika...mbuga yoyote ya wanyama iliyopo pande ya huku (kaskazini).....ninavyoelewa kuna tarangire, manyara, ngorongoro na Momela, ambazo zinaweza kufikiwa kwa siku moja na kurudi bila kulala, serengeti ndio inaweza kuwa ishu lakini pia haishindikani ni mambo ya mipango tu.....most welcome

Woooow....My girl again!

Bora upo mwaya katibu wangu!
Please endeleza mawasiliano, huenda mi nikatoka in short time!
 
Utanisindikiza mbuga ya wanyama?
Kaka, u mzima lakini?
Right now we are speaking business, kama unafanya booking fanya mapema, ndipo utaingia kwa mawasiliano ya personal na Preta!...Vinginevyo nafasi zitajaa, uanze tena kulalamika.
 
nataka kujumuika nanyi pia
BW/BIBI SAIMA KARIBU SANA.
Tunafurahi kuwa unatambua juhudi zetu za kuunga urafiki katika shida na raha.
Karibu sana, nimeshakutumia ujumbe wa siri(pm) kukufahamisha jinsi ya kuwasiliana.
Tafadhali tumia namba uliyopewa kuanzisha mawasiliano kwa waandaaji.
KARIBU SANA, TUNAKUPENDA.
 
Kaka PJ.............. can I join you guys? But nafasi yangu ni tarehe 22 kwenda mbele.......sijui itawezekana?
 
Back
Top Bottom