Jf-arusha wing...safari updates

hahah PJ bana, Takwenya, Keyaa!
Natamani kuwepo, nikipata muda i'll pm you!
 
Pj hili ni wazo zuri sana,yaani kila siku nilikua naombea litokee hili jambo kwa wakati muafaka,yaani hizo tarehe nilipanga kuwa Arusha.
kaka niweke ktk list,cant wait to meet you guys

PJ naomba kukaa gari moja na CHEUSI jamani,,,,just a favour
 
hahah PJ bana, Takwenya, Keyaa!
Natamani kuwepo, nikipata muda i'll pm you!

Lady,
Amani kwako. nikuombe uwepo dadaangu, maana naamini utapata cha kusimulia maishani. hkna alieenda huko akajuta.
Bajeti muda wako vizuri ili uwe sehemu ya wanaharakati.
 
I salute you PK, ni wazo zuri sana kama bado nafasi hazijajaa niweke kwenye list mkuu.
Sanawari ndo mtaa.
 
na kwa kuwafahamisha tu, wakati tunarudi tutapitia Yaeda muwasalimie ndugu zangu,jamaa na majirani....nimekuwa nikiwasimulia habari zenu wana JF wakapata shauku ya kuwaona, kwa hiyo tutakula asali kwa wingi na wale wanaotumia nyanyi roho zenu zitasuuzwa....karibuni sana
 
Mkuu PJ mkoloni kaniachia tarehe 23 Desemba so by jioni nitakuwa Arusha nafikiri sitowahi nitawasubiri on ur way back tukutane hapo ARUSHA.
 
I salute you PK, ni wazo zuri sana kama bado nafasi hazijajaa niweke kwenye list mkuu.
Sanawari ndo mtaa.

Maalim wangu,
Kwanza nikupongeze kwa moyo wa upendo na ushirikiano.
Nina amani kkufahamisha kuwa tumebakiwa na nafasi kama 8, kwahivo unaingia kwenye list ustaadh!
Cha msingi nitumie Pm namba yako ya cmu ili tujulishane maendeleo hata tukiwa nje ya jf.
PJ.
 
na kwa kuwafahamisha tu, wakati tunarudi tutapitia Yaeda muwasalimie ndugu zangu,jamaa na majirani....nimekuwa nikiwasimulia habari zenu wana JF wakapata shauku ya kuwaona, kwa hiyo tutakula asali kwa wingi na wale wanaotumia nyanyi roho zenu zitasuuzwa....

....now here comes my very own byutifu girl!
Waambie na kisha ubaelezee.
Wadau, Preta ndiye secretary wa komitii yetu adhimu.
Protoko imezingatiwa.
 
PJ upo juu keep it up......I wish to join you guys lakini mume kazi ndio shughuli hatokubali nije huko ikiwezekana nami nitawajoin
 
PJ upo juu keep it up......I wish to join you guys lakini mume kazi ndio shughuli hatokubali nije huko ikiwezekana nami nitawajoin

Mama big hata hiyo wish yako tunaifurahia,,karibu sana just in case!:teeth:
 
Mkuu PJ mkoloni kaniachia tarehe 23 Desemba so by jioni nitakuwa Arusha nafikiri sitowahi nitawasubiri on ur way back tukutane hapo ARUSHA.

Meneja wangu Nguli,
Napenda nikujulishe kuwa wewe ni mmoja katika watu hapa Jf wanaoheshimika sana. Tunashukuru kwa kutambua kwako harakati hii, na kama utashindwa kbs kujoin, basi tutahijaji sala zako.
Meneja uwe na amani tele.
 
Asante PJ nitawaombe kwa Mungu mfike salama, mkirudi please holla tuonane hapo AR.
 
na kwa kuwafahamisha tu, wakati tunarudi tutapitia Yaeda muwasalimie ndugu zangu,jamaa na majirani....nimekuwa nikiwasimulia habari zenu wana JF wakapata shauku ya kuwaona, kwa hiyo tutakula asali kwa wingi na wale wanaotumia nyanyi roho zenu zitasuuzwa....karibuni sana

duh na maziwa tafadhali
 
Back
Top Bottom