JF Arusha Wing: Ahsanteni sana...,

JF Arusha Wing: Ahsanteni sana...,

Niseme tu kwamba that was the big thing so much need at this time. KOKUTONA we have been blessed hav u around all this time. God is great...He has given u all what u need....Praise Him always.

That said...thanks Arabela for making it there....

Arushaone Mzee wa Rula PakaJimmy lilyflower watu8 Madame B Filipo mwalimu annon, mama, charminglady Nicas Mtei Preta marejesho Mtambuzi Asprin

Usije ukafanya ufisadi kwa kujibinafsishia moja kwa moja mali ya jamuhuri ya muungano. Zipende kucha zako na meno yako
 
Last edited by a moderator:
Dark City
Hakika tu pamoja mwanzo mwisho,Ndg siyo wa kuzaliwa ila kufaana Ndg zanguni! Ni hakika mambo yaliingiliana kwani mngetuona Arusha wing wote hapo Tanga ila kwa kuwa ndiyo hivyo hakika waliofika wamefika kwa niaba ya sisi Wana A town wing.

Pamoja sana na salaam sana CHUAKACHARA popote pale alipo!

Ahsante sana Liverpool FC, wamewawakilisha vema sana waliokuja, munoo.

Mmetufungulia ukurasa mpya mimi na familia.
 
Last edited by a moderator:
Sikuwa nimeuoma huu uzi...
Marafiki wote wa JF Arusha, Tanga na kwingineko hongereni sana kwa kutuwakisha huko Korogwe.
Kama nilivyoandika hapo awali na leo narudia tena, "ni marafiki wa kweli pekee wawezao kuyafanya haya yaliyofanyika".
Stay blessed guys!!!

Miss you watu8, call me when u get this msg lol.
 
Last edited by a moderator:
Mpendwa achana na huyu mgeni mwenyeji, anatumia ID mpya kuchafua wanaJF...
Hata usijibizane naye, akielewa mioyo ya watu ataacha.

Ameen mpendwa, nimekuelewa, he/she is not worth us.
 
maandalizi yalikuwa ya hali ya juu nimefurah pia kwa mapokezi yenu. Nimempenda mama yetu sana mcheshi na ameonyesha upendo kwa kweli. Sis KOKUTONA you are such a wonderful woman

Jamanii, ahsant sana kwa complements. Nasi tulibarikiwa na ujio wenu, furaha yenu imekuwa furaha yetu.

Ni kweli she is like that, she is friendly mother. Ahsante pia kwa kuona wonderfulness in me. Love u Arabela
 
Last edited by a moderator:
Niseme tu kwamba that was the big thing so much need at this time. KOKUTONA we have been blessed hav u around all this time. God is great...He has given u all what u need....Praise Him always.

That said...thanks Arabela for making it there....

Arushaone Mzee wa Rula PakaJimmy lilyflower watu8 Madame B Filipo mwalimu annon, mama, charminglady Nicas Mtei Preta marejesho Mtambuzi Asprin

Maneno yako yameshiba Kaizer. I have been blessed to dearly.

God is real great, and i will be always thankful to him.

I love you ALL
 
Last edited by a moderator:
Nitakutafuta kesho best...natumai mwaendelea vyema sasa!!!

We thank God, anafanya mengi ndani ya maisha yetu since then hadi leo. Anatupa marafiki wa kweli wa kutufariji. Tunashukuru kwa kweli.
 
Niseme tu kwamba that was the big thing so much need at this time. KOKUTONA we have been blessed hav u around all this time. God is great...He has given u all what u need....Praise Him always.

That said...thanks Arabela for making it there....

Arushaone Mzee wa Rula PakaJimmy lilyflower watu8 Madame B Filipo mwalimu annon, mama, charminglady Nicas Mtei Preta marejesho Mtambuzi Asprin

jaman Kaizer thank kwa kutambua uwepo wangu ingawa nanyi mlichangia uwepo wangu kwa asilimia nyingi.. Ahsante sana be blessd too
 
Last edited by a moderator:
Mungu awazidishie pale mlipotoa na aendelee kuwajaza na moyo wa upendo..
"
Mahali ni Pazuri ndugu wanapokaa wakipatana vema na wakipendana"
 
Back
Top Bottom