JF Arusha Wing: Ahsanteni sana...,

JF Arusha Wing: Ahsanteni sana...,

Mungu awabariki sana Arusha Wing kwakweli moyo mliouonyesha hauelezeki kwa lugha zilizopo sasa.

Mungu awatie nguvu zaidi na kuwaongezea moyo huo na kubariki kazi zenu pia.

Kokutuna Mungu aendelee kukutia nguvu dada,tunakupenda pia japo hatukuweza kupata fursa ya kuja.

Ahsante mkuu, naamini na nnajua for sure JF woote mnanipenda. Kwani mlikuwa nami kunipigia simu na hata kunitext kunipa maneno ya kutia faraja na matumaini.
I love you all, all of you ALL
 
Wakikupenda ndiyo walale Korogwe? hatukuwatuma kulala Korogwe, ilikuwa waende halafu warudi Arusha siku hiyo hiyo.

Copy: Arushaone, Filipo

Ukarimu walioukuta ulizishinda nguvu zao za kuondokaa siku hiyo hiyo ......lols
 
Ahsante sana mkuu,

Mie sina hata la kusema. Ukizingatia hali hii ungumu ya ukwere (ukapa au ukata wa awamu ya 4) na vitu ambavyo watu wanajitolea kufanya, utaona kuwa nguvu inayasokuma (naamini ni upendo wa hali ya juu) ni kubwa kuliko maelezo.

Ishallah tutakutana Narok Ijumaa...

cc: PakaJimmy, gfsonwin, Mzee wa Rula, Filipo, Lily Flower, Blaki Womani, marejesho, Kaizer, CHUAKACHARA, Arabela, KOKUTONA, Arushaone...

Tunashukuru kwa nasaha zako. Tupo Arusha, utadhani tunatoka tumbo moja/ au kama wote ni uzao mmoja toka mimi mzee wenu kwa upendo ulivyo mkubwa.
 
Tunashukuru kwa nasaha zako. Tupo Arusha, utadhani tunatoka tumbo moja/ au kama wote ni uzao mmoja toka mimi mzee wenu kwa upendo ulivyo mkubwa.


Mie natia timu kesho kutwa....Ijumaa hakuna kulala haki ya nani....

Mbona mwenyekiti yuko kimya??

cc: PakaJimmy, Mzee wa Rula, Filipo...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom