Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
ahsante zako nyingi kwa kuja kunipokea na kunisindikiza bila kujali mvua copy: Filipo Lily Flower Mzee wa Rula Kaizer PakaJimmy
Tunakushukuru wewe binafsi sana, maana pamoja na distance kati yetu na wewe, tuliweza kuuona mkono wako!Tunawashukuru sana Arusha wing kwa uwakilishi mzuri.
Mungu awabariki sana
Amen.....Tunakushukuru wewe binafsi sana, maana pamoja na distance kati yetu na wewe, tuliweza kuuona mkono wako!
Be blessed!
nilitamani sana kua pamoja nanyi
ila kwa sababu zisizoweza kuzuilika
ilibidi nisiongozane nanyi! pakajimy
kondoo wako nilipotea mbona hujanitafuta lol!
love u all! arushaone Lily Flower, Mzee wa Rula, Erickb52
Filipo,na wengineo pamoja sana!
umeona eeh my dia. Me mzima hofu kwako
Kitendo kilichofanywa na ndugu zetu wa Arusha Wing, cha kusafiri umbali mrefu kuja kuhani msiba wa mtoto wa KOKUTONA jana ni level ya juu sana ya ubinadamu.
Binafsi nakosa maneno ya kutumia kueleza ukubwa na umuhimu wa kitendo chenu kwa familia ya KOKUTONA sie wana Ta Wing. Tumefarijika sana na tumekubali kwamba nyie ni mfano wa kuigwa ndani na nje ya JF.
MUNGU AWABARIKI SANA!
Babu DC!
Jamani, Mimi tena?...Nilikutafuta sana ila ukawa 'Not rechable'nilitamani sana kua pamoja nanyi
ila kwa sababu zisizoweza kuzuilika
ilibidi nisiongozane nanyi! pakajimy
kondoo wako nilipotea mbona hujanitafuta lol!
love u all! arushaone Lily Flower, Mzee wa Rula, Erickb52
Filipo,na wengineo pamoja sana!
Bora mwaya umenitetea...na kwaajili ya hilo tunahitaji kufungua Konyagi moja jioni ya leo!...nipe lokasio na pozisio!Asante Sisy Passion Lady japo hukuwa nasi safarini lakini ulikuwa nasi kiroho zaidi, keep it up.
Ngoja nimtetee M/Kiti alikutafuta bila mafanikio angalia kilonga longa chako utakuta several calls done by PakaJimmy.
PJ ako makini mbaya babaake...! anakumbuka hadidu zote za rejea ati!ok my dear usijali
mi nikadhani mchungaji
kasahau kondoo wake hahha!
Mie niko poa tu Dear, mvua huku imecotton fire.
Mbona kila mtu anamtaja Arabela?
Filipo na wewe ulilala Korogwe?
jaman hupendiii. They loves me