charminglady dada tushukuru member wote kwa pamoja kutokana na kuitikia wito kwa njia mbali mbali, tupo pamoja na tunasema amen mungu awabariki wote hasa waliojitoa kwa hali na mali.
charminglady dada tushukuru member wote kwa pamoja kutokana na kuitikia wito kwa njia mbali mbali, tupo pamoja na tunasema Amen Mungu awabariki wote hasa waliojitoa kwa hali na mali.
shukrani sana mmenikumbusha mlivpokuja kwenye mazaishi ya my swiit mother aisee! dah ngoja kwanza narudi
Karibu sana gfsonwin
Nahitaji rula yako nimpime mtu.
yani Arushaone hakujali kabisa amekuja nipokea anatetemeka baridi. Mambo poa hofu kwako LiverpoolFC
ntajitahidi nifike huko jaman. Ahsante kwa ukaribisho
Ruksa chukua mkuu.
[/QUOTE]kiongozi wangu Mzee wa Rula umemwona huyu Nicas Mtei? Eti anahitaji rula ya kumpimia mtu? Kha ha ha ha ha haaaaa!
↲[ QUOTE=Nicas Mtei;6129335]Nahitaji rula yako nimpime mtu.
Wp ww mboga tu watu wanaushahidi wa kila uchafu mnaofanya chini ya mwavuli wa kujiita wana Jf kumbe hakuna ujinga mtupu sana sana ww umri wako utakuwa under 27 ndio maana unasapoti ujinga kumbuka hamsini zenu zikifika wazazi wenu watawakana hahahaaaa!!!!
Bibie karibu sana huku kwetu pazuri.
Fungua ule ukurasa wa Masharti ya mgeni ajaye Tanga, nadhani ukurasa wa 461.