Chilax pretty Preta!Kwanza nataka niferenge shingo za hao walopelekea wewe upate mawazo ya kujitundika!Wataje kwa majina.yesuuuuu......ni nini mae utake kunimuvuzisha haraka hivi.......utanifanya nifanye leo hii kitu ati
PAKA JIMMY NA MZEE WA RULA MNAKESI YA KUJIBU :typing:
Namtafuta Loner.
Hahahaha!!! Ruta nashangaa sijaona jina lako hizi ni dalili za ubepari lol!!!
hii ishu mmeifanya kiuchoyo mbona mie nilikuwepo maeneo hayo? Si tungejuzana tu!!
Chilax pretty Preta!Kwanza nataka niferenge shingo za hao walopelekea wewe upate mawazo ya kujitundika!Wataje kwa majina.
Uende wapi sasa nawee? Si nimekwabia hao niachie?Eeh hiyo ndo kama hivo mwanakwetu!Ni SaharaVoice na PakaJimmy....wasumbufu sana hawa jamaa......lakini kabla sijaondoka.....hiyo avatar yako ni....ni ....ni.....e e?
Jana nilikuja,nikawatafuta sikuwapata nikapiga simu hampokei nikajua ni uogawa wako..unakusumbuaHebu fasta njo night park
Jana nilikuja,nikawatafuta sikuwapata nikapiga simu hampokei nikajua ni uogawa wako..unakusumbua
Mimi nilikua na swali kwa Sahara Voice ivi Jumamosi unajua nilifikaje nyumbani?
Aisee kumbe huyu mchungaji ni fake?? si ajabu naye akawa anafanya ile biashara!!
Mimi nilikua na swali kwa Sahara Voice ivi Jumamosi unajua nilifikaje nyumbani?
Uende wapi sasa nawee? Si nimekwabia hao niachie?Eeh hiyo ndo kama hivo mwanakwetu!
Jmosi nilikuwa natafuta kondoo aliyepotea.
Kumbuka imeandikwa, (Hivi ni nani kwenu aliye na kondoo 100, akapotea mmoja asiwaache wale tisini na kenda kwenda kumtafuta yule mmoja?)
Kweli kweli mchungaji utaacha wale 99 na utamtafuta yule mmoja aliyepotea, unaelewaka mchungaji, ha ha ha ha