Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,246
- 5,757
makonda ana ndevu na kitambi kumbe?? sasa mbona amekunja uso kama ana susu gogo gumu?? sijamuona huyu jamaa zaidi ya siku tatu sasa ila nadhani ni vile magu alikuwa na wafanyabiashara....
Kwani zile zenye msalaba ziliishia vp
Sijawahi kupenda rangi ya blue katika jezi zetu za taifa. Kwanza mimi ni mnazi ya Simba (Mimi ni Kilomoni Jr.) ila ahuweni tutumie rangi hizi mbili (kijani na njano) au kama tunatumia blue basi iwe kwenye soksi ama bukta na iwe blue ya kukoza kama ile ya Brazil.
Fulana zikiwa kijani zitaleta muonekano mzuri sana na iwe kijani ya kukoza sana na bukta ndizo ziwe za blue.
Mwisho: kwa aina ya wachezaji wetu hata ukiwapa jezi za dhahabu ni sawa na kipini cha dhahabu juu ya pua ya nguruwe.
Wapeni tu hayo hayo majezi mabaya yanayoendana na uchezaji wao wa hovyo...
Sanahiyo ya njano nzuri
Mkuu unajishushia heshima,tangu lini jezi ya timu ya Taifa ikawa na rangi tofauti ya bendera ya Nchi?Wasipoweka rangi ya Simba kwenye hiyo mijezi yao ya kiqumer, wanaYanga tu wajiandae kwenda kushangilia hilo litimu la kisengerema.
Kwahiyo mkuu ni lazima jezi iwe na rangi ambazo zipo kwenye bendera?Mkuu unajishushia heshima,tangu lini jezi ya timu ya Taifa ikawa na rangi tofauti ya bendera ya Nchi?
Huyu dogo naye daah"Hata hapa Dar es salaam, ukimatwa ukapelekwa kituo cha Polisi kwa uzururaji au makosa fulani, nitawauliza polisi mtuhumiwa amevaa nguo gani, kama amevaa jezi mpya ya Taifa Stars, ataachiwa" - Paul Makonda.
Toa maoni yako
Ukiambiwa Yanga ni Timu ya wananchi,hii ndiyo maana yake,Kama ulikuwa huelewi ninaimani kupitia hizi jezi umepata abcNimeona jezi mpya za timu ya Taifa zimetambulishwa Leo.
Haiwezekani jezi zote hazina rangi nyekundu,lazima wote tuletwe pa1 kupitia rangi za timu ya taifa.
Kubali kataa Tz kama sio simba/yanga.View attachment 1125390View attachment 1125392
Utoto"Hata hapa Dar es salaam, ukimatwa ukapelekwa kituo cha Polisi kwa uzururaji au makosa fulani, nitawauliza polisi mtuhumiwa amevaa nguo gani, kama amevaa jezi mpya ya Taifa Stars, ataachiwa" - Paul Makonda.
Toa maoni yako
Hizi ni bangi sasa,hizo si rangi za Yanga niza bendera ya taifaMimi nasema hivi kama hawa wapumbavu wa TFF hawataondoa hizo rangi za Yanga kutoka jezi ya timu ya Taifa, basi hiyo timu yao wawapelekee Yanga wakaishangilie badala ya kutulazimisha kuishangilia Yanga kiujanja!!!!
Timu yoyote ya taifa katika jezi huzingatia rangi ya benderaHapa tunazungumzia timu sio bendera.