gstar
JF-Expert Member
- Jun 19, 2011
- 759
- 1,250
Hivi Tanzania kupitia TFF imeshindwaje kutoa tenda kwa makampuni makubwa yenye brand zinazofahamika ili kutengeneza jezi za timu ya Taifa (Taifa stars) badala ya ilivyo sasa jezi kutengenezwa na Sandaland the only one!
Wakati mataifa mengine ya Africa yaking'ara kwenye AFCON na nembo za jezi kama Nike, Puma, Adidas, n.k. sisi tumempa tenda Sandaland the only one.
Ningependekeza tuachane na huo umasikini kama taifa tuko mbele zaidi ya hapo. Tutengeneze vifaa vya michezo vyenye hadhi ya kimataifa kupitia kwa makampuni makubwa yenye uzoefu.