Jezi za Taifa Stars zimeangalia maslahi ya Yanga

Jezi ya Taifa Stars huipendi kwakua ya njano.
Lakini emoji unazotumia ni za njano pia.
Na meno yako ni ya njano.
Kila la kheri Stars😂
 
Tunazungumzia rangi si timu. Mtoa hoja nanataka kwenye jezi za timu ya taifa kuwe na rangi nyekundu kwa vile ni rangi ya timu kubwa hapa nchini. Je hii ni sababu ya msingi? Azam je nao tuweke rangi yao kwenye jezi za timu ya taifa?


Kwa kifupi, Jezi za Taifa Stars lazima zisadifu bendera ya Nchi /Taifa kwa sababu ni kama moja ya nembo za Taifa.
Jezi za timu za Taifa ziwe za rangi ya bendera ya Taifa - Dkt. Msolla https://t.co/3kAfR3LqmO via Mwananchi
 
Nimesikia redion bash anasema ukikutwa umevaa hyo tsht ata kama ulikuwa una kesi ukapelekwa korokoroni anaagiza wakutoe fasta eti kwakuwa ww ni mzarendo
 
Back
Top Bottom