vikombe

  1. Gordian Anduru

    Tayari Simba wameshaanza kupata Vikombe vya mkutano mkuu ujao mwakani

    Klabu yeti pendwa imepata mafanikio makubwa ukiacha Yale ya WhatsApp channel MCHEZAJI wetu Inonga amefika nusu fainali afcon. Pia fifa wametutaja Kwenye klabu 12 ambazo zitawania club world cup ambapo Sisi makolo wizard ni WA 7 Africa wakati zinatakiwa timu nne tu. Hayo ni mafanikio yetu
  2. John Gregory

    Yanga yatinga 20 bora ya vilabu vilivyotumia gharama kubwa zaidi kufanya usajili Mwaka 2023

    Kwa mujibu wa report za FIFA za hivi karibuni kuhusu gharama za usajili na uhamisho wa wachezaji, imeonyesha vilabu vikubwa kama Al Ahly, Mamelodi, Pyramids vikiendelea kuonyesha sababu ya wao kuwa bora huku zikiendelea kuwekeza katika kununua wachezaji wenye ubora ili kuendelea kusalia katika...
  3. ndege JOHN

    Nini husababisha vikombe kugongana ndani ya Kabati?

    Binafsi sijawahi kusikia vikombe vikigongana Kabatini nasikia tu kwenye stori za watu na hata licha ya kusoma science bado sijaona hii hali imeelezewa hivyo naomba mwenye jibu la Kisayansi anisaidie inakuwaje kikombe kikamtembelee jirani yake?
  4. Kalaga baho

    Nauza vikombe, kumi ni 14,500/- TU

    Habari wakuu, Nina vikombe vya udongo takriban 200 hapa ofisini naviuza. Chukua kuanzia 10, update kwa elfu 14500 TU. Call 0628731833
  5. bezos2019

    Nunua pakti moja ya vikombe 50 kwa Tsh. 8000/=

    0787 345 816 nipigie. Kwa 8,000/= tu unapata pakti ya vikombe 50. Nipigie kwa idadi yoyote ntakuletea, Dar ama mkoa wowote.
  6. I

    Simba sherehe kubwa Makombe na Mataji sifuri!

    Moja ya vituko vya mwaka 2023 ni kwa Simba kuandaa sherehe ya kukata na shoka wakiwa hawana kikombe wala taji la ndondo! Sasa sifahamu wanasherekea nini na mashabiki wao hata bila kuhoji wamo tu wanaruka ruka kama tumbili aliyeshiba mahindi ya wizi. Kwenye sherehe kama hiyo Simba wanapaswa...
  7. GENTAMYCINE

    Jezi ya Simba SC itakayozinduliwa leo ni ya Kuchukua Vikombe vyote na siyo za Kuishia Fainali na Kulalamika kuhujumiwa

    Chanzo Taarifa: EFM Sports Headquarters Na kwa taarifa ambazo GENTAMYCINE nimehakikishiwa na Watu wa ndani Simba SC ni kwamba kuna Uwezekano baada ya Jezi Kuzinduliwa leo kati ya Saa 10 Jioni hadi Saa 1 Usiku kwa Uzuri wake zikanunuliwa kwa Kasi zote nchini na kuisha. Pia kuna uwezekano hata...
  8. Balqior

    Chupa ya chai na vikombe vya chai juu ya makaburi ni uchawi wa aina gani?

    Nilipita njia ya makaburini, nikakuta kwenye baadhi ya makaburi kwa juu kumewekwa chupa ya chai na vikombe vya chai, kuna moja ya wazee waliopo hapo maeneo ya karibu aliniambia hizo chupa na vikombe unaona vimechoka ila kwenye ulimwengu wa roho hizo ni chupa mpya na vikombe vipya kabisa...
  9. GENTAMYCINE

    Mo Dewji Nitengee Tsh Bilioni 4 tu nizunguke duniani nikuletee Majembe ya Simba SC Kuzoa Vikombe vyote Africa

    Ukiwa tayari nikufanyie hii Kazi Tukuka nenda Ofisi za JamiiForums mtafute Kaka yangu na Mtani wangu mkubwa wa Kihaya JamiiForums Founder Maxence Melo mkabidhi huo Mzigo nitaukuta Kwake. Nitaanzia Zambia kuna Chuma Kimoja nimekiona kisha nitaenda Uganda kuna Chuma nimekiona, nitaenda Egypt kuna...
  10. BARD AI

    Watu wasiojulikana waiba vikombe nyumba ya Watawa

    Mtu asiyefahamika ameingia nyumba ya watawa wa Shirika la Veronika lililopo Soweto, wilayani Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro na kuiba vikombe vya kuwekea komunyo (siborio). Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Simon Maigwa akizungumza na waandishi wa habari jana, alisema kutokana na uzembe uliofanyika...
  11. Uhakika Bro

    Bora wazee waliobadilishana almasi kwa shanga na vikombe sisi leo mahindi/mazao kwa makaratasi meupe!

    Yas kama bei ya karatasi [hizi rimu/ream sijui] imefikia sijui 20,000s, na gharamagharama sijui thelathini naa huoni kama ni yaleyale. Ya kutoa dhahabu na kupewa kioo!! Tunapewa kakitu kadogo tusichozalisha kwa bei kubwa na ili kupata fedha za kununulia huto tuvitu tunauza chakula chetu cha...
  12. Ibrahim daud

    INAUZWA Vikombe vinauzwa

    Vya udongo 1@5500 DSM ☎️ 0718909429
  13. Gordian Anduru

    Kabati la makombe Simba SC

    Ukibahatika kufika kwenye kabati la makombe ya klabu ya Simba utakutana na makombe yafuatayo 1. KOMBE LA LIGI TANZANIA BARA ambalo YANGA pia analo hata Cosmopolitan, mseto, Pan Africa, Tukuyu Stars, Coastal union, Mtibwa Pia wamechukua 2. KOMBE LA LIGI YA MUUNGANO ambalo hata YANGA, Pan...
  14. C

    Manchester United na mkosi wa vikombe 🤔

    After the Europa League final heartache💔 on the 26th May😁Wachezaji wao wote went to their respective national teams in search of TROPHY..... ▶Fred Brazil❌ ▶Cavani Uruguay❌ ▶Bruno Portugal❌ ▶McTominay Scotland❌ ▶D.James Wales❌...
  15. kavulata

    Msolla, uongozi bora kwenye mpira ni vikombe vingi

    Mzee Kikwete aliusifia uongozi wa akina Msolla kuwa anaongoza vizuri klabu ya Yanga. Je, hii ni kweli? Miaka 4 hujapata kombe lolote ispokuwa Mapinduzi Cup huo ni uongozi bora?
Back
Top Bottom