Jeshi latanda Mjini Songea

Yatakuwa ni maandalizi ya uchaguzi wa mwezi oktoba
 
Updates..

Risasi zinarindima muda huu hapa Songea..
 
Wamepata gatepass makambini waende kuosha macho mjini ndio maana unawaona uko
 
Nipp songea club hapa. Nimezisikia, ila timeahidiwa amani tele. Kuna mshkaji wangi tunamkabidhi mke hapa apambane naye hukp mbeleni kwani maisha ya ndoa si mchezo ikizingatiwa kafunga na harakati hz za jeshi letu tukufu.
 

Siku hizi vita vyapiganwa mijini zaidi kuliko hata porini; wacha wajiweke sawa kila angle ya nchi
 
Hii milipuko siyo ya kitoto....
 
Muda huu kuna milipuko mikubwa ya mabomu hadi nyumba zinatikisika, kwa nini lakini?
 
Km ni kweli mazoezi mu naona sawa tu kwani magaidi si wanateka na kujichanganya na raia so inakuwa rahisi kidogo kupata kauzoefu
 
Barabara ni nyeupe hakuna mtu bodaboda wala magari,


Kuna taarifa kuwa kuanzia saa 4 usiku huu asionekane mtu nje, kuna baadhi ya watu wamepewa kichapo.


Wapo doria sasa
 
Jamani...Lizaboni ndo kwetu... Dada hangu anaishi karibu na madizini kajifungia ndani na familia yake na mabomu na risasi zinarindima muda huu.... Ndugu mwingine anaishi mjilwena naye kajifungia ndani kwa sababu hizohizo.... Mama yupo misufini Lizaboni naye kaniupdate hayohayo.... Mwingine yupo msamala kumpokea mgeni stendi mpya, anashindwa kurudi Lizaboni kwa sababu hizo hizo.... Etieri za maza ni kwamba siasa kali wapo mtaani.... Haijulikani ni alkaida...alshabab... Au nani.... Ila hali ni tete muda huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…