Habari wakuu.
Kuna hali ambayo siyo ya kawaida hapa Songea kwani asubuhi ya leo kila kona hapa Mjini na nje ya Mji Wanajeshi wametapakaa mitaani na hakuna taarifa yoyote ya uhakika iliyopatikana, watu wameingiwa hofu hata vyombo vya usafiri ikiwemo bodaboda kama ilivyozoeleka hakuna.
Mji umepoa sana.
Kwa mwenye taarifa zaidi tujuzane waungwana.
Hiyo ndio mikwara ya madikteta,mafisadi wa Afrika.
Kuelekea uchaguzi hamtaona askari tu bali mtaona hadi vifaru,mabomu ya kutegwa aridhini,madege vita na kila uozo; huku mkioneshwa vita vya DRC, BURUNDI,SUDAN,KENYA, SOMALIA, SIRIA, IRAQ, AFAGHANSTAN, nk
Huwa mnasema Nchi haitakalika (MBOWE), sasa hayo manyunyu tu mlishakuwa na hofu ahhahhhah??? Usiogope kijana tuko kwenye mazoezi ya kawaida
Na mimi nipo Songea sehem inaitwa Makambi, nimeuliza nikaambiwa ni mazoezi ya kawaida na nimeelezwa wapo hadi barabarani (za kwenda Njombe na Mtwara), mtoa taarifa wangu amenieleza kuwa pia hawa jamaa wametega mabomu (yasiyoua) pande hizi za milima ya Matogoro na watayalipua baadaye. Naambiwa pia ni trick ya kufichua na kuwathreat majambaz walioko mafichoni (kama wapo). Naendelea kuuliza uliza.

Mmmh na wewe weka akiba ya maneno kha!!
Barabara ya kwenda mtwara ni ipi? Wacheni fix. Barabara kuu zinazoingia ni; Kuelekea mbinga(ikichukuliwa pale luhuwiko). Kuelekea njombe(ichukulie bombambili); Kuelekea tunduru(ichukulie Regional block); na kuelekea mitomoni(ichukulie lizaboni). deonovaMmmh na wewe weka akiba ya maneno kha!!
Mazoezi tu wala usitie shaka!