Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021

Under current circumstances anything is possible
 
Makao makuu kwenye anuani ya barua ni ''Dodoma'' alafu ukumbi upo makao makuu ya Jeshi Upanga Dsm what is this? where is Makao makuu ya Jeshi kwa hakika.
Soma uelewe vizuri Bro, Makao Makuu ya Jeshi kwa sasa yako Dodoma, ila taarifa imesema hiyo press conference itafanyika yalipokuwa Makao Makuu ya Jeshi zamani pale Upanga.
 
Terrorism alert.
yan kambi za jw zipo blacklist ya magaid wa mozambique(Nawaza tu)
. Au ni ile barua ya Jpm


Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna haja ya kuwa na wasiwasi tumbo moto! Si unajua hapo Uganda na Congo iko maneno ya kuingiliana japo wamekanusha.
Sasa na sisi lazima tujihami ili kuonekana kuwa tunajali. Usishangae wakasema kuna Dalila ya Ugaidi kusafisha kinachoendelea hapo mahakama.
Vinginevyo ni kuupiga mwingi.
Wako walioambiwa "Nonsense" duuuh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…