Under current circumstances anything is possibleCcm wanatumia vyombo vyote vya ulinzi effectively kutawala wananchi . Sijui IGP au CDF wanajua wenyewe walivyopata hizo nafasi na wapo very submissive kwa ccm. Kesho wanakuja kutoa Lipoti yao ya namna vip protection workers walivyokuwa magaidi na kuwapiga na chuma kizito ili tu wafungwe.