Chromium
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 589
- 187
Usilete mfano wa Tanzania na Misri, labda nikuulize wewe Anuar Saadat alikuwa na makosa gani? Gamal Abdel Nasser alikuwa na makosa gani? Hosn Mubaraka alikuwa na makosa gani? Morsi alikuwa na makosa gan?
Huwezi kujua kwa sababu ya kwetu nayo huyajui. Kwani Kikwete ana Makosa gani? Kwani Mkapa ana makosa gani? Kwani CCM ina makosa gani?