Jeshi la wananchi Egypt lampindua Rais Morsi

Jeshi la wananchi Egypt lampindua Rais Morsi

El Baradei anakuwa raisi wa serikali ya mpito na SCAF wamepitisha.
 
brotherhood hawatofautiani sana na chadede, wote wapo kwa maslahi yao tu,
 
Mkuu wa mahakama ya katiba ndo kapewa uongozi wa muda mpaka uchaguzi utakapoitishwa....
 
Hawa waarabu wapuuzi sana wameacha kujitawala kwa sheria za kiislamu pamoja na uwepo wa waislamu asilimia 95 wanaendelea kujifanya waijua demokrasia wakati ndani ya demokrasia hamna haki hata kidogo.
 
Ni kweli ila kuna mengi ya kujifunza hasa tukiiangalia katiba mpya. Pale Jeshi linapokuwa chombo huru kutoka kwenye kamba za siasa na likiwa na nidhamu huwa linapaswa kufanya kazi hii. Chanzo kikubwa ukiacha siasa za Morsi za majivuno, ni kitendo walichokifanya polisi kuuwa raia wake wenyewe?!! What a mess up!
 
Live by aljazeera, president Mohamed morsi has been overthrown and constitution provisionally suspended. The country's chief justice will lead an interim government and organise elections in the next twelve months. Army responding to people's demand. New kind of coup deta in Africa!
 
tayari sasa ni nderemo na vifijo mjini cairo.jaji mkuu ameteuliwa na jeshi kuwa rais wa mpito.
 
raia wapumzike sasa maana washaandamana sana na mungu kasikia kilio yao.
 
Aliye kuwa Rais wa Misri Morsi, ameondolewa madarakani na Jeshi la Nchi iyo, kwa sasa serekali itakuwa chini ya usimamizi wa Jeshi na habari nyingine itafatia.
 
indeed, new kind of coup d etat in africa. But i think, it is better that way, than a government that do not meet expectations.
 
People's Power! Nguvu ya umma imefanya kazi na jeshi limetii kauli ya wananchi...
 
Dah!!hapa kwetu kazi tunayo,mkwe..re ametuchosha mpaka tunakuwa machizi ila ndio tutafanyaje sasa na jeshi lenyewe lina akili za kinapenape kama chagonjwa and the co.....
 
Hawa waarabu wapuuzi sana wameacha kujitawala kwa sheria za kiislamu pamoja na uwepo wa waislamu asilimia 95 wanaendelea kujifanya waijua demokrasia wakati ndani ya demokrasia hamna haki hata kidogo.

makopolo?
 
Good military does this for interest of people not way tanzanianfor sake of ccm are raping people no discipline,integrity and mostly they are cowards
 
Jeshi limefanya mapinduzi misri na limemteua mwanasheria mkuu - adli mansour kuwa rais wa muda wa misri, morsi si rais tena! Haya mambo yameenda haraka mno na kirahisi bila kumwaga damu.
 
Back
Top Bottom