Jeshi la wananchi Egypt lampindua Rais Morsi

Jeshi la wananchi Egypt lampindua Rais Morsi

[FONT=Times New Roman, serif]Tanzania tunamengi ya kujifunza toka misri,mtu kuteuliwa kwa kura sii kigezo cha kung'ang'ania madarakani kama hutumizi wajibu kama rais[/FONT]
 
Hii siyo military coup d'etat. Ni mapinduzi yaliyoanzishwa na wananchi na jeshi likaisoma namba na ku-side nao.

Actually, the whole debate is now centred on whether or not this is a military coup d'etat

Ozan O. Varol, "The Democratic Coup d'Etat" (2012) 53 Harvard International Law Journal 291, uses three comparative case studies of the 1960 military coup in Turkey, the 1974 military coup in Portugal, and the 2011 military coup in Egypt to illustrate what he referred to as a "democratic coup phenomenon" and the constitutional entrenchment thesis: http://www.harvardilj.org/wp-content/uploads/2010/05/HLI203.pdf

But I wonder if the so called "2011 military coup in Egypt" was in fact a coup as Mubarak actually resigned.
 
Kama wewe hujui wanachokitaka wao watakuwa wanajua.

Kama sie wenyewe hata hatujui tunachokitaka nchini mwetu tutajuaje wanachotaka watu wengine kwenye nchi zao?

Usilete mfano wa Tanzania na Misri, labda nikuulize wewe Anuar Saadat alikuwa na makosa gani? Gamal Abdel Nasser alikuwa na makosa gani? Hosn Mubaraka alikuwa na makosa gani? Morsi alikuwa na makosa gan?
 
>>>JESHI TAYARI LIMEPINDUA NCHI


The Egyptian army has announced fresh presidential and parliamentary elections after ousting Mohamed Morsi from power.

In an address to the divided nation, commander of the armed forces, Abdul Fatah Khalil al Sisi, said Mr Morsi had failed to meet the demands of the Egyptian people.





>>>>"
Tanks were moving on the October 6 Nile Bridge in the heart of Cairo Wednesday, July 3, shortly after President Mohamed Morsi was removed from his palace and taken to a military base. Muslim Brotherhood leaders are also believed under arrest. Security travel bans have been issued against Brotherhood leaders. Sources in Cairo report that they will be tried for "crimes" committed during their year in office. A formal announcement is awaited by the military council after President Morsi and his government refused to stand down in response to the defense minister's ultimatum Wednesday, July 3. The generals have taken over the state television newsroom and are monitoring content. No clashes are so far reported between the rival demonstrators of Morsi's supporters and opponents packing central Cairo"



Muda wa saa 48 ndiyo umekwisa jeshi limetwaa kituo cha tv cha taifa . Habari za uhakika ni kuwa jeshi litaunda serikali ya mpito kwa miezi 12.

Bunge litavunjwa pamoja na kuifuta rasimu ya katiba iliyopitishwa. Uchaguzi wa wabunge na nyinginezo zitafanywa katika kipindi cha miezi 12 ijayo.

>>>>> UPDATES>>>>

>>>A military coup is underway in Egypt, according to President Mohamed Morsi's national security adviser"

>>> jeshi kwa sasa linaelekea kuzingira ofisi za umma.

>>> Raisi Morsi pamoja na maafisa wa juu wa chama cha muslim brotherhood wamezuiwa na jeshi kusafiri nje ya nchi kuanzia sasa.

>>>> watangazaji wa tv ya taifa wameamriwa na jeshi kurudi makwao . Kwa sasa maafisa wa jeshi ndiyo wanaendesha TV ya taifa.

>>>> Morsi asarimu amri na kusema yupo tayari kuunda serikali ya umoja wa kitaifa (bila kujiuzuru) lakini jeshi limemtolea nje kuwa muda wa kufanya hivyo ulishapita.


>>>>>> Tayari vifaru vya kijeshi vimeanza kuingia mtaani

BOQwFMVCAAYO3xt.jpg


>>> Hundreds of Egyptian soldiers, together with armored vehicles, are taking part in a military parade on the road near presidential palace, a witness told Reuters.

BOQzp4XCUAAuV_Z.jpg:large


BOQ2UsnCMAEWxMH.jpg



BOQwPHQCYAAI4os.jpg:large


BOQ5HU_CYAAmUEv.jpg:large
Hii inadhihirisha imani ya dini yoyote haiwezi kutumika kama itikadi ya kuongoza serikali inayotakiwa kukidhi mahitaji ya wanaadamu hapa duniani. Taliban ni mfano mzuri, lakini tumeona al shabaab kule somalia, muslim brotherhood hapo misri. Nchi za kikristo ziligundua siku nyingi katika historia na kuacha itikadi ya dini kuongoza nchi. Uislaam bado haujakata tamaa. Inafaa waislaam kwa ujumla wao wakubali dhana ya serikali isiyokua na dini bila ubishi 'secularism' Hakuna serikali duniani inayoweza kutawala nyoyo za binaadamu ila inaweza tu kuweka sheria za kufuatwa na wananchi wake.
 
Naamini raisi mursi bado anakubalika na wananchi, hao wanaompinga ni watu wachache tu na wanajeshi...naaminhp tahrir patachimbika
 
Mkuu EMT,

Nafikiri kinachofanyika hapa ni kwamba SCAF inajulikana kwamba ni "very powerful council" na ukumbuke lina watu 21 tu.

Kwahio mtindo wanaotumia ni wa kistaarabu lakini "methods" ni zilezile kwamba kwanza unasimamisha matumizi ya katiba, halafu unaingia kwenye vyombo vya habari na kutangaza maazimio yalifikiwa kati ya washirika wote wa mapinduzi hayo.

Mapinduzi haya hayafanywi na baraza la jeshi pekee bali kwa kuwakutanisha wadau wote na hii ndio point muhimu.

AL Sisi amesema kwamba serikali ya Mursi imeshindwa kutimilisha matarajio ya wananchi.

Halafu pia kuna jambo lingine la msingi kwamba polisi wa Misri hawaaminiwi kabisa kuingizwa mitaani wakati wa vurugu kutokana na kuwa na uhusiano mkubwa na iliyokuwa serikali ya Hosni Mubarak ambayo kwa kweli ilikuwa ni "very brutal" kwa wananchi.

Ila mwisho ametoa onyo la kistaarabu kwamba vurugu hazitavumiliwa mitaani na ndio unaona wale wote ambao ni Po Mursi wamekuwa Muted na Anti Mursi wameshinda.
 
Jeshi la Misri limechukua maamuzi ya kumuweka kando raisi Morsi kwa utawala mbovu ambao amekuwa akiuonyesha kwa wananchi hao uliojaa ubaguzi. Jeshi limechukua nchi na itaundwa kamati kupitia katiba kabla ya kufanya uchaguzi wa Rais mwingine.
Morsi amekatazwa kusafiri nje ya ardhi ya Misri.
Morsi ametoa wito wa washabiki wake kutopinga uamuzi huo wa Jeshi

Nawapongeza WaMisri kwa moyo wa kishujaa pamoja na Jeshi ya Misri kwa kuwa upande wa Wananchi kuliko hapa kwetu.
Mungu Ibariki Misri
Mungu Ibariki Afrika.
 
Naamini raisi mursi bado anakubalika na wananchi, hao wanaompinga ni watu wachache tu na wanajeshi...naaminhp tahrir patachimbika
Waislamu ubwaubwa utawajuwa tu, unadhani waliompinduwa ni Wakristo? au jina la Muslim Brotherhood ndio linakutia kiwewe?
 
Inasemwa kwamba Mohamed El Baradei anaapishwa na SCAF kesho kuunda serikali ya mpito.
 
Actually, the whole debate is now centred on whether or not this is a military coup d'etat

Ozan O. Varol, "The Democratic Coup d’Etat" (2012) 53 Harvard International Law Journal 291, uses three comparative case studies of the 1960 military coup in Turkey, the 1974 military coup in Portugal, and the 2011 military coup in Egypt to illustrate what he referred to as a "democratic coup phenomenon" and the constitutional entrenchment thesis: http://www.harvardilj.org/wp-content/uploads/2010/05/HLI203.pdf

But I wonder if the so called "2011 military coup in Egypt" was in fact a coup as Mubarak actually resigned.

Yeah there is a debate right now about the semantics. Even the US govt is still trying to figure out what it is exactly that happened because as you know the US gives Egypt a massive amount of monetary aid and by law they can't support a govt. that got in power thru a coup.

But this one is not a military coup. Maybe it is the people's coup that was backed by the people's military.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Morsi pretty much did what he wanted (a la Cheney/Rumsfeld/Bush).

This MIGHT work out well for the people. They certainly seem happy, anyway, and they understand what's going on better than we do.
 
Usilete mfano wa Tanzania na Misri, labda nikuulize wewe Anuar Saadat alikuwa na makosa gani? Gamal Abdel Nasser alikuwa na makosa gani? Hosn Mubaraka alikuwa na makosa gani? Morsi alikuwa na makosa gan?

Suala siyo nani alikuwa na makosa.

Pia the fact kuwa wewe unaona hawakuwa na makosa haina maana kuwa na Wamisri wanaona hivyo.

The fact kuwa mtawala ana au hana makosa haitampa mamlaka yoyote ya kumiliki the sovereignty of the people.

Suala hapa ni mmilikaji wa sovereignty, siyo makosa ya mmilikaji.

Sovereignty belong to the people. They can do whatever they want to do with it hata kama ni kuwakataa viongozi wasio na makosa.

In fact watu hawachagui viongozi kwa kigezo cha kama wana au hawana makosa bali kama wana capabilities na leadership skills za kuongoza nchi.

Mtu anaweza asiwe na kosa lolote lakini akashindwa kuongoza nchi.

The fact kuwa wewe ni msafi sana haina maana kuwa ni rusksa kuishi nyumbani kwangu as much as you wish.

I own my house na siku nikijisikia naweza kukuondoa na kumpangisha mwingine na hutaweza kujitetea eti hujafanya kosa lolote.
 
Rais Mohamed Morsi wa Misri amepinduliwa rasmi na Jeshi baada ya kukaidi agizo la Jeshi la nchi hiyo lililomtaka atafute suluhu na wananchi waliokuwa wanamtaka ajiuzulu. Nafasi yake imeshikwa na Jaji mkuu wa nchi hiyo na katiba ya nchi hiyo imesitishwa mpaka uchaguzi utakapofanyika. wananchi wanasherehekea.



Source: Aljazeera television




 
2115: Syrian President Bashar al-Assad, an opponent of Mr Morsi, has said "whoever uses religion for political aims, or to benefit some and not others, will fall". Speaking to a Syrian state newspaper, he said: "You can't fool all the people all the time, let alone the Egyptian people who have a civilisation that is thousands of years old, and who espouse clear, Arab nationalist thought."
 
Suala siyo nani alikuwa na makosa.

Pia the fact kuwa wewe unaona hawakuwa na makosa haina maana kuwa na Wamisri wanaona hivyo.

The fact kuwa mtawala ana au hana makosa haitampa mamlaka yoyote ya kumiliki the sovereignty of the people.

Suala hapa ni mmilikaji wa sovereignty, siyo makosa ya mmilikaji.

Sovereignty belong to the people. They can do whatever they want to do with it hata kama ni kuwakataa viongozi wasio na makosa.

In fact watu hawachagui viongozi kwa kigezo cha kama wana au hawana makosa bali kama wana capabilities na leadership skills za kuongoza nchi.

Mtu anaweza asiwe na kosa lolote lakini akashindwa kuongoza nchi.

The fact kuwa wewe ni msafi sana haina maana kuwa ni rusksa kuishi nyumbani kwangu as much as you wish.

I own my house na siku nikijisikia naweza kukuondoa na kumpangisha mwingine na hutaweza kujitetea eti hujafanya kosa lolote.

Mie wala sijasema hawana makosa nimekuuliza wewe pengine unajua zaidi, hii inaweza kuwa mara ya tano au zaidi jeshi linafanya mapinduzi
 
Tanzania tunamengi ya kujifunza toka misri,mtu kuteuliwa kwa kura sii kigezo cha kung'ang'ania madarakani kama hutumizi wajibu kama rais

Binafsi nimefurahishwa na ujasiri wa watu wa Egypt. Vilevile nalipongeza sana jeshi la Egypt kwa kuwa act professional na kuwa jeshi lenye nidhamu na maono na linaloingalia nchi ya Egypt katika picha kubwa. Huyu Mtawala Mohamed Morsi ni mtu kilaza, mwenye kiburi na asiye heshimu mamlaka ya Ofisi ya Rais. Ni kiongozi aliyeshindwa kujitafakari na kutambua nini maana ya dhamana ya uongozi. Nimeshindwa kuelewa uwezo wake wa kufikiri na hata wa ule wa washauri wake.

Huu utakuwa wakati muafaka wa kupitia yale mapungufu yote ya Katiba ile ya Morsi na jamaa zake wa Muslim Brotherhood iliyokuwa ikiminya fursa na uhuru wa wengine katika nchi yao. Morsi anasahau historia haraka sana kuwa walio hatarisha maisha yao na hata wale waliokufa katika harakati za kuchochea mapinduzi na hatimaye mageuzi hawakuwa 'Muslim brotherhood' peke yao bali walikuwa Wa Egypt waliokuwa wakitaka neema na mabadiliko ya Egypt mpya yenye kutoa fursa na haki sawa kwa wote pasipo kujali dini wala itikadi. Walitaka uhuru na haki za kila Mui Egypt zianishwe kwenye Katiba. Hawakuta Kiongozi mwenye hila na mitego yenye ajenda za siri za kuwapelekesha wengine kama vile wale waliopigania Egypt mpya walikuwa watu mataahira.
 
Back
Top Bottom