Fitinamwiko
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 4,803
- 1,419
Sio jambo la kuomba litupate Tanganyika, CUF wameonja joto ya JWTZ
Jioni hii huko jiji la Cairo kumeharibika, wanajeshi wamejaa ndani ya jiji wakiwa na vifaru na magari ya kivita pia wamefunga barabara zote za kuingia na kutoka Cairo, hii ni baada ya Morsi kukaidi agizo la jeshi.
Muslim brotherhood na ring leader wao morsi ni vichaa walifikiri ikulu ni sehemu ya kwenda kukariri aya ikulu ni kuleta mandeleo kwa wananchi.
LET THE BEARDED FOOLS GO TO
Then....?!
EGYPT WILL RECLAIM ITS CLOTHES
Sio jambo la kuomba litupate Tanganyika, CUF wameonja joto ya JWTZ
hata kwetu inafaa iwe hivo
tatizo jeshi limekuwa mali ya CCM badala ya kuwa mali ya umma.
Mkuu wa majeshi tanzania upo?
ona wenzio wanavojua kazi zao bila kujikomba komba kwa rais..
Nenda Mtwara na combat za CDM ndipo utajitambua. Good luckHuu ni mfano sahihi wa watanzania katika kujitambua. Tanzania sio mali ya mtu binafsi. TAFAKARI; CHUKUA HATUA...!
Nenda Mtwara na combat za CDM ndipo utajitambua. Good luck
Hakuna ushabiki au uzalendo katika kumwaga damu. Bibi yangu ana zaidi ya miaka 100, balaa likiibuka nani atamsaidia? Mke wangu anategemea, balaa likiibuka atakwenda wapi. Tulipata ukombozi 1961, bila ya damu na history repeats itselfHapo sasa inakuwa ni ushabiki na sio uzalendo na ndio maana tuna safari ndefu kufikia ukombozi.
Natamani ingekuwa Bongo..