Jeshi la Polisi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jeshi la Polisi.

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Anyisile Obheli, Aug 20, 2012.

 1. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2012
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  wadau ni lini jeshi hili POLISI litarejeshwa kwa wananchi ambao ndiyo waajili wao kupitia idara ya ulinzi na usalama wa raia na mali zao ili nalo lipate heshima?

  Likaondokana na hii sura ya sasa ya kuwa Jeshi la kulinda viongozi wadhalimu na kupiga raia hovyo
   
 2. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,931
  Trophy Points: 280
  Wananchi hawajawahi kuajiri polisi, labda sungusungu
   
 3. morenja

  morenja JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,523
  Likes Received: 1,051
  Trophy Points: 280
  jibu kwenye katiba mpya .toa maoni polisi lisiwe jeshi .liwe Tanzania police service badala ya sasa Tanzania police force .katiba ya ghana iko hivyo na sasa kenya pia .
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Aug 20, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  tujitokeze kutoa maoni kwenye katiba..
   
 5. S

  Sende Member

  #5
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  inabdi nasi wasukuma tujitokeze jaman
   
 6. S

  Sende Member

  #6
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  au siooooooo bagoshaaa
   
Loading...