Polisi Tzfungueni akaunti Tiktok iwe Verifed !

Polisi Tzfungueni akaunti Tiktok iwe Verifed !

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,361
Reaction score
26,930
Jeshi la Polisi ni kwaajili ya Usalmlama wa Raia na mali zao. Raia wema ni wengi na kwenye mitandao kama tik-tok kuna wahalifu wengi ambapo ni rahisi kuwa-tag na kuona huyo mwalifu na kumshughulikia.

Lakini maandamano na uhalifu mbalimbali itakuwa ni rahisi kuuzima kama mtakuwa na akaunti na watu kuripoti kwenu.
 
Back
Top Bottom