Jeshi la Polisi linamshikilia 'James Delicious' kwa amri ya Naibu Waziri Kigwangalla

Salaam kwenu!!
Shoga maarufu Tanzania na duniani James delicious amekamatwa kwa amri ya Naibu waziri wa afya mh khamisi kigwangala!! Jopo la wanasheria kutoka chadema mkiongozwa na TUNDU LISSU mna mpango gani wakumtetea?
Ushoga ni mfumo wake wa maisha alochagua. Hana sababu ya kutetewa mwenyewe anaweza. Sorry kakamatwa na Mteja wake au kaparamiwa tu njiani?
 
Salaam kwenu!!
Shoga maarufu Tanzania na duniani James delicious amekamatwa kwa amri ya Naibu waziri wa afya mh khamisi kigwangala!! Jopo la wanasheria kutoka chadema mkiongozwa na TUNDU LISSU mna mpango gani wakumtetea?
Hata mpumbavu akinyamaza huonekana mwenye hekima.

Ikibidi basi umeongea, then penda kushirikisha kichwa chako katika unayoyasema.
 
Salaam kwenu!!
Shoga maarufu Tanzania na duniani James delicious amekamatwa kwa amri ya Naibu waziri wa afya mh khamisi kigwangala!! Jopo la wanasheria kutoka chadema mkiongozwa na TUNDU LISSU mna mpango gani wakumtetea?
Vip ww unamoango huo?
 
Hivi wewe unajielewa kweli? Kwani hao chadema ni mashoga hadi wamtetee?
 
Huyo mabwana zake alisema ni vigogo unadhani vigogo ni wa chama gani? Hao ndio watamtetea
 
Back
Top Bottom