Jeshi la Polisi linamshikilia 'James Delicious' kwa amri ya Naibu Waziri Kigwangalla

View attachment 487825

Habari za hivi punde ni kwamba kijana maarufu mtandaoni na hapa jijini Dar, 'James Delicious' anashikiliwa na kituo cha polisi Osterbay toka Jumamosi kwa amri ya Kigwangalla.

Ikumbukwe kuwa Waziri Kigwangalla akiwa Bungeni aliamuru kukamatwa kwa wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja wanaojiuza mitandaoni na kumtaja James akitaka akamatwe mara moja.

Rejea uzi huu >>>DODOMA: Kigwangalla aagiza kukamatwa kwa Kijana maarufu mitandaoni kwa ushoga, James Delicious

Mpaka sasa anahojiwa na ametaja list ya wapenzi wake zaidi ya 100 ikiwemo viongozi wakubwa wa nchi.

Swali: Je, Kigwangalla atawaja hadharani?
Swali langu la msingi ni Jeh!!!
Dogo nae akimtaja [HASHTAG]#Kigwangala[/HASHTAG] kama Mpenzi wake itakuwaje..!!?
Huu mchezo hauitaji paparapupa maana unaweza tega mtego ukajipata umeingia mwenyewe...
 
Mbona anaacha kuhangaikia mambo ya msingi kwenye wizara kama vile upungufu wa madaktari na madawa,anahangaika na mambo ya mashoga itatusaidia ni wtz?
 
Nafkir huu ni mwendelezo wa mambo mabaya na hatari nchini ambayo viongozi huyapuuzia ilihali yana madhara makubwa, wanaharibu jamii kwa nyendo zao. Haya hebu tuone kama ataweka wazi hiyo list ya vigogo. Je ni kina nani hao wanaojifanya wanakemea maovu wakati wao ndo watendaji wa hayo makosa napata wasiwasi wa viongozi wetu.
 
View attachment 487825

Habari za hivi punde ni kwamba kijana maarufu mtandaoni na hapa jijini Dar, 'James Delicious' anashikiliwa na kituo cha polisi Osterbay toka Jumamosi kwa amri ya Kigwangalla.

Ikumbukwe kuwa Waziri Kigwangalla akiwa Bungeni aliamuru kukamatwa kwa wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja wanaojiuza mitandaoni na kumtaja James akitaka akamatwe mara moja.

Rejea uzi huu >>>DODOMA: Kigwangalla aagiza kukamatwa kwa Kijana maarufu mitandaoni kwa ushoga, James Delicious

Mpaka sasa anahojiwa na ametaja list ya wapenzi wake zaidi ya 100 ikiwemo viongozi wakubwa wa nchi.

Swali: Je, Kigwangalla atawaja hadharani?
Keshapata wakili? Nataka nikamtetee
 
Back
Top Bottom