Jeshi la polisi: Hatuna taarifa kutekwa kwa Mdude

Ukanushaji wao hauna tofauti na ule wa Spika Tulia aliyesema hakuna mtu aliyeshuhudia Mdude akitekwa, hata mke wake hakushuhudia!
Kuna watu wanapenda kusababishia wenzao matatizo. Sasa kwa kauli kama hii ya spika na polisi kama ningekuwa na uwezo kama wa Hamza RIP, ningejitoa mhanga nilimtoe roho spika halafu polisi waseme hakuna shahidi.
 
Unapokalia kiti unasahau na kudhani utakikalia msisha yako yote, inanikumbusha mheshimiwa mmoja alikuwa katibu mkuu ikulu, yule bwana wenzake waliostaafu walipokuwa wakilalamika kuhusu mafao yeye aliwajibu kuwa hawakujipanga walipokuwa madarakani, siku alipostaafu na kupewa mafao hakuamini kwani alipata mshituko na Mungu alivyo mkuu mhe. alipata kiharusi hapohapo kutokana na moyo kushituka.
 
Hii nzuri sana, hawa watu wenye roho mbaya inafaa wapigwe hapa hapa duniani.
 
Katika taarifa ya moja ya magazeti yaliyosomwa Radio Free Africa ipo taarifa inayodai polisi hawana taarifa ya kupotea Mdude! Taarifa hii haina tofauti na ile aliyotoa Tulia huko Mbeya kwamba bunge lilishindwa kujadili hilo tukio kutokana na kukosekana mashahidi walioona Mdude akikitekwa! Hata ule wa mke wake si wa kweli.
Wote wanaokana kutekwa kwa Mdude ni mashetani na Mungu atawashughulikia ipasavyo.
 
kuna watu wakishakufa one day will face firing squad kwa Mungu, hatasubiri hukumu ya kawaida
Hiya day itabidi iwe televised kila mtu aone. Firing squad ihusike, huu unyama usije jirudia vivaz vijavyo
 
Huyu mtu atakuwa kauawa na kuzikwa kusikojulikana kama ilivyotokea kwa Azori Gwanda. Mungu atawalipa waovu wote waliofanya uhalifu huu.
 
Katika taarifa ya moja ya magazeti yaliyosomwa Radio Free Africa ipo taarifa inayodai polisi hawana taarifa ya kupotea Mdude! Taarifa hii haina tofauti na ile aliyotoa Tulia huko Mbeya kwamba bunge lilishindwa kujadili hilo tukio kutokana na kukosekana mashahidi walioona Mdude akikitekwa! Hata ule wa mke wake si wa kweli.
Mungu anajua kila kitu, iko siku ukweli utakuwa peupeee. Hata dhamira saobpia wote polisi na tulia zinajua kila kitu
 
Hi si huyu Tulia nasikia ni mlokole huyu tena nasikia wa TAG. Mke wa mdude si shahid namba moja. Kwa kuwa kesi ni ya jamhuri, wamkamate mke wa mdude akajibu kesi maana yeye ndo anaishi na mdude. Mme wa tulia ameshindwa kumkumbusha mistali ya bible ambayo na yeye alijifunza EAGT kweli?? kwamba kusema uongo ni dhambi?
 
Katika taarifa ya moja ya magazeti yaliyosomwa Radio Free Africa ipo taarifa inayodai polisi hawana taarifa ya kupotea Mdude! Taarifa hii haina tofauti na ile aliyotoa Tulia huko Mbeya kwamba bunge lilishindwa kujadili hilo tukio kutokana na kukosekana mashahidi walioona Mdude akikitekwa! Hata ule wa mke wake si wa kweli.
Tulia ana mkono katika utekwaji wa Mdude.
 
Mungu anajua kila kitu, iko siku ukweli utakuwa peupeee. Hata dhamira saobpia wote polisi na tulia zinajua kila kitu
Watu wanauwawa kila siku hii dunia na maisha yameendelea kwa wanaobaki na MUNGU anajua.

Kama kuna jambo unataka liwe na matokeo unalifanyia kazi ndipo unaliweka mikononi mwa MUNGU. Maneno matupu ukitegemea litokee jambo ni probability. Uwezekano ni maisha yataendelea kanakwamba hakuna kilichotokea.
 
Katika taarifa ya moja ya magazeti yaliyosomwa Radio Free Africa ipo taarifa inayodai polisi hawana taarifa ya kupotea Mdude! Taarifa hii haina tofauti na ile aliyotoa Tulia huko Mbeya kwamba bunge lilishindwa kujadili hilo tukio kutokana na kukosekana mashahidi walioona Mdude akikitekwa! Hata ule wa mke wake si wa kweli.

Hawa police intelligence yao inafanya kazi kwa Chadema tu.
 
Katika taarifa ya moja ya magazeti yaliyosomwa Radio Free Africa ipo taarifa inayodai polisi hawana taarifa ya kupotea Mdude! Taarifa hii haina tofauti na ile aliyotoa Tulia huko Mbeya kwamba bunge lilishindwa kujadili hilo tukio kutokana na kukosekana mashahidi walioona Mdude akikitekwa! Hata ule wa mke wake si wa kweli.
Huyo mdude ni mtu mropokaji tu amejaa jazba na chuki kwa ccm na utawala uliopo. Hana busara wala huwezi jua ana muelekeo gani kiitikadi. Inaonekana hata elimu yake ni ndogo au sio nzuri maana hana uchambuzi wa mambo. Yeye ni mpinzani tu. Ni kama lissu sema lissu ni msomi wa sheria. Watu wapinzani tu hata ukikubali kile wanabisha wataendelea tu kukubishia ile tunaita ku 'shifti ground'
 
Katika taarifa ya moja ya magazeti yaliyosomwa Radio Free Africa ipo taarifa inayodai polisi hawana taarifa ya kupotea Mdude! Taarifa hii haina tofauti na ile aliyotoa Tulia huko Mbeya kwamba bunge lilishindwa kujadili hilo tukio kutokana na kukosekana mashahidi walioona Mdude akikitekwa! Hata ule wa mke wake si wa kweli.
Polisi wako sahihi. Kuna aliyefungua faili la kupotea Mdude?
 
Back
Top Bottom