Jeshi la polisi: Hatuna taarifa kutekwa kwa Mdude

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
24,187
Reaction score
29,671
Katika taarifa ya moja ya magazeti yaliyosomwa Radio Free Africa ipo taarifa inayodai polisi hawana taarifa ya kupotea Mdude! Taarifa hii haina tofauti na ile aliyotoa Tulia huko Mbeya kwamba bunge lilishindwa kujadili hilo tukio kutokana na kukosekana mashahidi walioona Mdude akikitekwa! Hata ule wa mke wake si wa kweli.
 
kuna watu wakishakufa one day will face firing squad kwa Mungu, hatasubiri hukumu ya kawaida
 
Katika taarifa ya moja ya magazeti yaliyosomwa Radio Free Africa ipo taarifa inayodai polisi hawana taarifa ya kupotea Mdude! Taarifa hii haina tofauti na ile aliyotoa Tulia huko Mbeya kwamba bunge lilishindwa kujadili hilo tukio kutokana na kukosekana mashahidi walioona Mdude akikitekwa! Hata ule wa mke wake si wa kweli.
Mlitegemea nini toka kwa hao jamaa??
 
SSH Katika idara anazotakiwa kuwa makini nazo ni polisi,wanamuharibia waziwazi.Rejea kulaumiwa na bunge la mabeberu,ni sababu ya polisi kutumia ngumu kubwa bila akili!
 
Ila watanzania ni kipi tutafanya ili hii serikali waone kweli tumechoka kufanywa wapumbavu? Sawa sisi waoga tunaogopa kuandamana ni keyboard warriors, sasa hata kwenda kukichafua kwenye account zao mitandaoni pia tunashindwa?
 
SSH Katika idara anazotakiwa kuwa makini nazo ni polisi,wanamuharibia waziwazi.Rejea kulaumiwa na bunge la mabeberu,ni sababu ya polisi kutumia ngumu kubwa bila akili!
Acha ujinga,yeye ndo anawatuma
 
Back
Top Bottom