Mediocrist
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 1,694
- 925
Hongera kila la kheri.
Vipi hamjapangiwa sehemu moja maana mlianza nyote hii safari
Hongera kila la kheri.
Zanzibar ama? Wamechukuliwa wangap na walikuwa wanafanyia huo mchakato maali ganUku kisiwani leo w2 wanaripoti kambi flani ya jeshi la jwtz kwa ajili ya kesho kuanza safari yao kuripoti ktk makambi walizopangiwa
Nafiiir kila wilaya ni kama watu 20 kila wilaya kwa kisiwan pemba baaada ya apo wameungana na aenzak wa zenj wamekaa kweny kambi ya kikosi cha jku apo ndiopo walipopangiwa kambi za kwenda nafikir washaondoka saivZanzibar ama? Wamechukuliwa wangap na walikuwa wanafanyia huo mchakato maali gan
Mkuu huyo ni muhandisi wa nini!!?Wapuuzi mtu anasifa zote tena mhandisi afu anapigwa chini vinachukuliwa vitoto tu tena vya stashahada za maendeleo ya jamii
dah mnanipa hasira, tumechunguliwa mi..ndu na tusipite, naskia mwez wa pil au wa tano tena
Hahahahaha duuuh nacheka kama mazurydah mnanipa hasira, tumechunguliwa mi..ndu na tusipite, naskia mwez wa pil au wa tano tena
Hahahaha
Au hawajaona marinda
Pole eeehdah mnanipa hasira, tumechunguliwa mi..ndu na tusipite, naskia mwez wa pil au wa tano tena
mkuu hiyo tetesi umeisikia wapi?dah mnanipa hasira, tumechunguliwa mi..ndu na tusipite, naskia mwez wa pil au wa tano tena
Hahaha Malinda Hakuna nini mkuu!?dah mnanipa hasira, tumechunguliwa mi..ndu na tusipite, naskia mwez wa pil au wa tano tena
duuh kimetokea niniMmh mkuu walter nimesikia hiyo habari ila kama ni kweli inauma sana kupotezeana mda aisee