Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

Tangazo lina tatizo gani mkuu
  • how do you rank a diploma student and bachelor degree to have the same age?
  • utachukuaje mtoto wa miaka 16 kwenda jkt kupigishwa kazi wakati hata sheria ya kazi hairuhusu under 18 kufanyishwa kazi
  • age limit kwa degree holder kuwa 25 huo ni uongo may be walitaka waliokulia mjini wakawahi kuanza shule sisi kule vijijini humshangai mtu yuko la kwanza ana miaka 15 hapo sijaongelea miundombinu ya elimu vijijini siyo mizuri hapa unakuta mtu karudia darasa au kidato sasa huyo atamaliza degree na umri tajwa ndugu emb jaribu kunijibu basi
  • umri wa miaka 26+ una uhusiano gani na kulitumikia taifa katika vyombo vya usalama?

haya ni baadhi tu
 
You have logic bro. Lakin labda nao walitakiwa kutuambia kwann wamelimit hivyo
 
Back
Top Bottom