Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

Zanzibar ama? Wamechukuliwa wangap na walikuwa wanafanyia huo mchakato maali gan
Nafiiir kila wilaya ni kama watu 20 kila wilaya kwa kisiwan pemba baaada ya apo wameungana na aenzak wa zenj wamekaa kweny kambi ya kikosi cha jku apo ndiopo walipopangiwa kambi za kwenda nafikir washaondoka saiv
 
Mmh mkuu walter nimesikia hiyo habari ila kama ni kweli inauma sana kupotezeana mda aisee
 
Sio kama ni kweli kaka, ni kweli kabisa yani inasikitisha na vijana wanatia huruma ni vilio hasa huku kaka, lakin ukija kuangalia wakati wa kujaza mkataba tayar ulishakubaliana na mkataba kuwa Jkt haiajiri na wao walipata fever ya kuongezewa miezi 6 zaidi, hivyo vijana wasitoke na wazo la kwenda kupata ajira Jkt tangazo lishasema ni kujitolea sasa hawa op kikwete toka 2015 leo 2018 wamerudi mtaani inabid vijana walielewe hili suala wasiwe na matarajio ya ajira jkt
 
Haina jinsi ni kwenda kuanza maisha mapya tu mtaani na kutumia ujasiriamali uliojifunza ukiwa Jkt hakuna namna​
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom