ndoze
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 1,187
- 1,108
Nashukuru Mungu nilikosa.Mlioenda 2017 mmefikia wapi sasa?
Au chenga
Nashukuru Mungu nilikosa.Mlioenda 2017 mmefikia wapi sasa?
Au chenga
Unashukuru kwa kukosa?Nashukuru Mungu nilikosa.
Ndio, ingenipotezea sana dira ya maishaUnashukuru kwa kukosa?
Aisee familia mimi familia inanishinikiza niende nawaambia huko jau hawaelewiNdio, ingenipotezea sana dira ya maisha