Jeshi jeshi jeshi

thanks kaka, mimi architect, nasubiri watangaze niombe....
 
Kwa mara ya kwanza jeshi kuwa kama kampuni kwa kuomba kazi
 
uongo mwingine bwana,yaani take home one mil alaf unaacha?
dogo unafahamu maana ya architecture? unajua architect ni nani? tulia kidogo acha kukurupuka......
nilikokuwa nafanya nilikuwa nalipwa 1milion take home ila kazi kuanzia asubuhi hadi saa 11 nipo hoi siwezi kufanya chochote wakati huo nafanya kazi kama draft man na sio kama architect, hii ni proffessional chalii......
 

kwa hyo unaona raha kwenda kulipwa laki 7 sio?
 
kwa hyo unaona raha kwenda kulipwa laki 7 sio?
dogo kwangu mimi jeshi heshima, halafu hawalipwi laki 7 arifu, kwa mwezi wanaondoka na kitu inayokaribia 2milions (nazungumzia maluteni/nyota 2), ila hiyo 2milions kwangu hainipi shida coz hata huku mtaani nazipata, jeshi nalipenda, elewa dogo, napenda jeshi....
 

ebu tuwekee salary slip yako hapa ili tuweze kuamin?
 

Hauna lolote wewe,njaa na ukosefu wa ajira tu ndiyo inayokufanya ulipende jeshi.
 
kwa taarifa tu nilizopata leo nilipoenda kufuarilia issue ya kujiunga na JWT nikwamba pale JKT wameanza usajiri so ni vyema kwa yule mwenye nia atembelee makao makuu ya jkt apate kujua kinachoendelea.ila kwa watu wenye fani ya udaktari huna haja ya kwenda huko jkt ww tuma au peleka mwenyewe maombi yako hata kwa mkono pale mako makuu upanga ofisi ya CHIEF OF MEDICAL SERVICES,Utapata msaada mkubwa sana kwa askari wetu waliopo kwenye ofisi hiyo na kama kuna la kutaka kufahamu zaidi utalijua.Tunahitaji vijana wengi sana wenye fani ya udaktari .
 


Sawa kamanda tumekuelewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…