GE2025 Jesca Magufuli achaguliwa katika kura za maoni ubunge wa viti maalum

GE2025 Jesca Magufuli achaguliwa katika kura za maoni ubunge wa viti maalum

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Jesca John Magufuli amechaguliwa na wajumbe wa mkutano mkuu maalum wa umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mbunge wa viti maalum kupitia kundi la vijana kutoka Tanzania Bara.

Katika matokeo yaliyotangazwa leo Agosti 2 aliyeshika nafasi ya kwanza Damas Kamani alipata kura 409, Jesca Magufuli ameshika nafasi ya pili baada ya kupata kura 391 kati ya kura 2,466 zilizopigwa na kura 12 ziliharibika katika uchaguzi ambao umefanyika Mtumba Jijini Dodoma.
1754115425021.png
 
Back
Top Bottom