Akitubu kwa kweli, kutoka moyoni mwake, mungu atamsamehe na atakuwa mtu mpya.Shalom,Leo nikiwa nimejipumzisha home baada ya kutoka kanisani nikiwa naangalia Emmanuel TV mara namuona Jerry Muro yuko ndani ya SCOAN,sijui kaenda kutubu.
Mwigulu alienda huko ila bado watu wana poteaShalom,Leo nikiwa nimejipumzisha home baada ya kutoka kanisani nikiwa naangalia Emmanuel TV mara namuona Jerry Muro yuko ndani ya SCOAN,sijui kaenda kutubu.
Kama una tumia app ya jf, bofya hiyo icon ya ktk hapo itakupeleka kwenye gallery utachagua hiyo picha the utaiupload na kuisend.Nashindwa kuapload mkuu,msaada tafadhali
We jamaaAmeenda kupata maombi juu ya tatizo lake la kuropoka bila ufahamu liishe. Pia nyota yake iliyochukuliwa na Musiba irudi.