Jerry Murro yupo kwa TB Joshua

Jerry Murro yupo kwa TB Joshua

Niko naangalia Chanel ya Emmanuel TV inayoonyesha huduma za kiroho za Prophet TB Joshua kutoka kanisa la SCOAN lilililoko Lagos Nigeria nikamuona Mtangazaji wa zamani,msemaji was zamani was Yanga na kada wa ccm Jerry Murro akiwa viti vya mbele na watanzania wenzake.Hongera Jerry Murro kwa kuwa deep kwa Mambo ya kiroho ,vijana tuamke
Hata Mwigulu alionekana kwa TB Joshua lakini sasa anashirikiana na akina Kitwanga na Bashite lwenye kikosi kazi .

Jiangalie sana unapotoa pongezi zako .
 
Niko naangalia Chanel ya Emmanuel TV inayoonyesha huduma za kiroho za Prophet TB Joshua kutoka kanisa la SCOAN lilililoko Lagos Nigeria nikamuona Mtangazaji wa zamani,msemaji was zamani was Yanga na kada wa ccm Jerry Murro akiwa viti vya mbele na watanzania wenzake.Hongera Jerry Murro kwa kuwa deep kwa Mambo ya kiroho ,vijana tuamke
Kaenda kutubu baada ya majaribio ya kumuua lissu Dodoma kushindikana
 
Bora atubu kabisa kosa la kuropoka na kusingizia.
Bado tunamsubiria Jiwe.
Kenda kujiganga huyo, kaona hana nguvu yeyote wala kinga

Waikumbuka hii
IMG-20170309-WA0000.jpg
 
Bora atubu kabisa kosa la kuropoka na kusingizia.
Bado tunamsubiria Jiwe.

Nyani naskia haoni kundule. Wazee wa EU na press Conferences. Sijui vichwa vyenu vimelogwa. Huwa vinapositive tu kwenu.
 
Niko naangalia Chanel ya Emmanuel TV inayoonyesha huduma za kiroho za Prophet TB Joshua kutoka kanisa la SCOAN lilililoko Lagos Nigeria nikamuona Mtangazaji wa zamani,msemaji was zamani was Yanga na kada wa ccm Jerry Murro akiwa viti vya mbele na watanzania wenzake.Hongera Jerry Murro kwa kuwa deep kwa Mambo ya kiroho ,vijana tuamke
Tapeli amekwenda kwa tapeli kubwa!
 
Kila mtizii anaeenda huko akirudi anakua mkatili zaidi,mfano ngosha,mwegulu
 
Jamani naomba niambieni maana OP sababu naona hayo maandishi kny profile yangu nashindwa kuelewa maana yake
 
Pamoja na kukaa siti ya mbele kabisa lkn kaishia kuwa giza... Watanzania wenzake wote wamepata maombezi kasoro.....
 
Back
Top Bottom