Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,071
- 134,432
- Thread starter
- #121
Hana uwezo wa kujua hoja yangu,wwe ni wangu akili zako nazijuahapo hakuna hoja,sana sana unaitangaza shule ya feza
Hana uwezo wa kujua hoja yangu,wwe ni wangu akili zako nazijuahapo hakuna hoja,sana sana unaitangaza shule ya feza
Sababu zakitoto kabisa hizoMbowe na Lissu ni capitalist,JPM ni socialist and communist
Huyu ni wa mchepuko, ila mama Jeremiah yupo bright sana she is a master holder in Business administration after her BSC. Jeremiah kafuata à kili za mama yake. Mama yake ndo yule alieuziwa nyumba ya serikali.Mama Janet mbona watoto wake ni wakubwa au huyu ni wa mchepuko? Ninakumbuka wakati wa msiba wa Didasiassburi alisema wanaume wa kisfrika hawana mtoto cha ndzni wala wa nje wote ni watoto
Not true, his mom is pure Sukuma. Refer yule alieuziwa nyumba enzi zile. Ndo mama yake.Mama yake ni m-Nyarwanda

kama mwanao ana akili anaweza soma feza bure, namfahamu mtu amesoma shule ya serikali akapata wastani A na kuna somo alipata 50/50 na akawa Tanzania one kwa hilo somo, akapewa interview feza na kupewa nafasi bure.Safi,Haya tunaomba tuwekewe bei ya ada ya hiyo shule ya wanyonge ili sisi wanyonge tukasomeshe huko watoto wetu!!!
Hivi kuna mnyonge anaemudu ada ya shule ya msingi shs 4mln?!! Ada hii ni ghali kuliko ada ya chuo cha elimu ya juu Tanzania.
.........Shule za Feza International za chekechea, msingi na sekondari zilizoko Kawe, Mikocheni, na Tegeta kwa wasichana na wavulana hutegemea ngazi ya elimu.
“Mtoto wa shule ya msingi analipiwa Sh4 milioni kwa mwaka na yule anayeanza sekondari analipia zaidi ya Sh7 milioni. Kwa shule ya msingi ada pekee ni Sh2.9 milioni bila kuhusisha gharama nyingine kama chakula, malazi, vifaa na usajili,” alieleza mmoja wa wazazi ambaye ana mtoto wake anasoma moja ya shule hizo.
Source. Shule Dar yatoza Sh60 milioni
Thanks mkuuNot true, her mom is pure Sukuma. Refer yule alieuziwa nyumba enzi zile. Ndo mama yake.
His mom,sorry.Thanks mkuu
Uongo, siyo mtoto wa Janeth huyu. Huyo mtoto ni wa Sundi Malomo.Ni mtoto wake wa mwisho, ndie aliyekuwa ana matatizo ya moyo, ila kapona
Hahahahahahahahah....!!!Kama Feza ndiyo shule ya masikini na wanyonge basi naombeni mnifanyie mpango na mimi niweze kuwa masikini jamani!! Huu utajiri utatuua watanzania tulio wengi!
Haya ni mawazo ya kimasikini hivi nikiwa natetea wanyonge na mimi natakiwa kuishi kinyonge?Watz watu wa ajabu sana yaani unataka kuniambia niwapeleke watoto wangu shule za kayumba eti kisa natetea wanyonge?hiyo haipo kabisa hizo ni fikra finyuShule ya wanyonge?minilijua watoto wa mpenda haki wapo kayumba!!!